Eneo bunge la Butula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Jimbo la Uchaguzi la Butula''' ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili hupatikana katika [[Wilaya ya Busia, Kenya|Wilaya ya B...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:47, 29 Januari 2010

Jimbo la Uchaguzi la Butula ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili hupatikana katika Wilaya ya Busia nchini Kenya, miongoni mwa majimbo manne katika wilaya hiyo. Lina wodi nne ambazo huwachagua madiwani kwa baraza la Busia County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1997.

Wabunge

Uchaguzi MP [1] Chama Vidokezo
1997 Yekoyada F. O. Masakhalia KANU
2002 Christine Abungu Mango NARC
2007 Alfred Odhiambo ODM

Wodi

Wodi
Wodi Wapiga Kura Wliojisajili
Marachi Central 9,245
Marachi East 8,671
Marachi North 9,762
Marachi West 7,951
Jumla 35,629
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

Virejeleo

Kigezo:Majimbo ya Uchaguzi