Eneo bunge la Fafi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Jimbo la Uchaguzi la Fafi''' ni mojawapo ya majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Garissa iliyoko Mk...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:50, 29 Januari 2010

Jimbo la Uchaguzi la Fafi ni mojawapo ya majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Garissa iliyoko Mkoani Kaskazini Mashariki, miongoni mwa majimbo matatu katika wilaya hiyo. Lina wodi sita, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Garissa County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Ibrahim Mohamed Salat KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Ibrahim Mohamed Salat KANU
1997 Elias Barre Shill KANU
2002 Aden Sugow KANU
2007 Aden Sugow KANU

Wodi

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Bura 962
Fafi 1,319
Jara Jila 402
Masabubu 837
Nanighi 3,060
Welmerer 2,759
Jumla 9,339
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

Virejeleo

Viungo vya Nje