Eneo bunge la Imenti ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Jimbo la Uchaguzi la Imenti ya Kati''' ni moja kati ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. JImbo hili linapatikana katika [[Wilaya ya Marsabit]...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:56, 29 Januari 2010

Jimbo la Uchaguzi la Imenti ya Kati ni moja kati ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. JImbo hili linapatikana katika Wilaya ya Marsabit mkoani Mashariki miongoni mwa majimbo matatu katika wilaya hiyo. Lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la utawala wa mitaa la Meru Central County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

Jimbo hili lilibuniwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

==Wabunge==
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Kirugi Laiboni M’Mukindia KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Kirugi Laiboni M’Mukindia KANU
1997 Gitobu Imanyara Ford-K
2002 Kirugi Laiboni M’Mukindia NARC
2007 Gitobu Imanyara CCU

Wodi

Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha
Gatimbi 8,926
Kariene 7,893
Katheri 9,835
Kiagu 7,164
Kibaranyaki 5,338
Kibirichia 12,485
Kithirune 5,973
Mwangathia 10,615
Jumla 68,229
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

Virejeleo