Mboga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ar:خضار
d roboti Nyongeza: et:Köögivili; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Légumes 03.jpg|thumb|right|Mboga sokoni]]
[[imagePicha:5aday spinach.jpg|thumb|right|Spinachi]]
'''Mboga za majani''' ni sehemu za [[mmea|mimea]] zinazopikwa na kuliwa kama [[chakula]] cha kibinadamu. Kwa kawaida [[tunda]], [[jozi]], [[mbegu]] au [[nafaka]] hazihesabiwi kati ya mboga.
 
Mifano ya mboga ni:
* mboga majani kama [[sukumawiki]], [[spinachi]]
* mizizi kama [[karoti]]
* [[kabeji]]
* [[nyanya]]
 
Chakula cha mboga chaingiza [[vitamini]] na [[madini]] muhimu katika mwili.
 
== Chakula cha kupikwa ==
Kwa kawaida huliwa baada ya kupikwa ingawa kuna aina zinazoliwa bichi pia kwa mfano karoti.
 
== Majani mabichi ==
Majani mengine huliwa bichi kama ni laini sana na ladha inapendeza yanaitwa [[saladi]]. Mchanganyiko wa [[nyanya]], [[vitunguu]] na pilipili ni [[kachumbari]]. Saladi na kachumbari huongezwa mara nyingi mafuta, [[chumvi]] na [[asidi]] ya [[limau]] au [[siki]] kwa ladha.
 
== Mboga kama chakula cha kando ==
Mboga hutazamiwa kama sehemu ya chakula pamoja na [[ugali]], [[ndizi]] au [[wali]] ambayo ni chakula cha kushibisha. Kutokana uzoefu huu wakati mwingine hata [[nyama]] huitwa "mboga" kwa maana ni chakula cha kando pamoja na ugali n.k.
 
Mstari 23:
{{mbegu-mmea}}
 
[[CategoryJamii:chakulaChakula| ]]
 
[[af:Groente]]
Mstari 44:
[[eo:Legomo]]
[[es:Verdura]]
[[et:Köögivili]]
[[eu:Barazki]]
[[fi:Vihannes]]