Kampuni ya Alden : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox kampu | jina = Kampuni ya Viatu ya Alden | jina la kampuni = Kampuni ya Viatu ya Alden | picha = | ilianzishwa = 1884 | mwanzilishi = Charles H. Alden | h...'
 
Mstari 15:
}}
==Historia==
'''Kampuni ya Viatu ya Alden''' ilianzishwa katika mwaka wa [[1884]] na Charles H. Alden.Hii ni kampuni ya kuunda viatu vya wanaume,vya kazi na vya anasa pia. IkiwaKampuni nahii ina makao yake [[Middlesborough]], [[Massachusetts]],hii.Hii ndiyo kampuni ya kuunda viatu yailipatikana katika eneo la [[UingerezaNew MpyaEngland]] inayoendesha na inaendelea kuendesha biashara yake huko hadi sasa.
 
Katika mifululizo ya filamu ya ''Indiana Jones'',Jones huwa amevaa viatu vya aina ya Alden 405 vya rangi ya kahawia. Mwandalizi wa nguo za kuvaliwa katika filamu hiyo, Nadoolman, alikuwa amechagua [[Kampuni ya Viatu ya Red Wings|viatu vya Red Wings]] kama viatu vya Indy. na viatuViatu vya Red Wings 1905 vinafanana sana na Alden 405, hasawatu hawakuweza kutofautisha viatu hivyo katika filamu za zamani za kabla ya enzi ya DVD(ambazo nivideo huonekana dhahiri zaidi) . Duka ambalo [[Harrison Ford]],anayeigiza kama Indiana Jones(Indy) katika filamu hiyo, alinunua jozi yake ya Alden ya kwanza lilikuwa Duka la Fredrick's Shoes. Fununu ni kuwa Harrison Ford alipendelea viatu vya kampuni ya Alden kwa sababu alivivaa alipokuwa akifanya kazi kama [[seremala]] katika jiji la [[Los Angeles]],miaka kadhaa kabla ya kuigiza katika filamu ya [[Star Wars]] na kupata umaarufu. Ford, hapo awali,alinunua buti zake katika duka la mtaa wa [[Sherman Oaks]],[[California]] lililoendeshwa na [[Mjerumani]] aliyeitwa Fritz. Muda ulipokuja wa kununua viatu vingi vya kutumika katika kurekodi kwa filamu ya ''Raiders of the Lost Ark'', Ford alisisitiza kuwa buti zilizohitajika zinunuliwe kutoka duka la Fritz. Timu ya kurekodi na uzalishaji wa filamu wakaheshimu ombi lake.Hivyo basi, Fritz aliuza jozi nyingi za buti katika kurekodi kwa filamu hiyo.Hii inatumika kuonyesha uzuri wa viatu vya kampuni ya Alden na hasa viwango vyake vya juu. Viatu hivyo vya Alden vinajulikana ,pia , kwa sifa ya kudumu sana. Soli na ngozi zake zikiwa dhabiti na bora.
 
Katika mifululizo ya filamu ya ''Indiana Jones'',Jones huwa amevaa viatu vya aina ya Alden 405 vya rangi ya kahawia. Mwandalizi wa nguo za kuvaliwa katika filamu hiyo, Nadoolman, alikuwa amechagua [[Kampuni ya Viatu ya Red Wings|viatu vya Red Wings]] kama viatu vya Indy na viatu vya Red Wings 1905 vinafanana na Alden 405, hasa katika filamu za zamani kabla ya enzi ya DVD(ambazo ni dhahiri zaidi). Duka ambalo [[Harrison Ford]],anayeigiza kama Indiana Jones(Indy) katika filamu hiyo, alinunua jozi yake ya kwanza lilikuwa Duka la Fredrick's Shoes. Fununu ni kuwa Harrison Ford alipendelea viatu vya kampuni ya Alden kwa sababu alivivaa alipokuwa akifanya kazi kama [[seremala]] katika jiji la [[Los Angeles]],miaka kadhaa kabla ya filamu ya [[Star Wars]] na kupata umaarufu. Ford, hapo awali,alinunua buti zake katika duka la mtaa wa [[Sherman Oaks]],[[California]] lililoendeshwa na [[Mjerumani]] aliyeitwa Fritz. Muda ulipokuja wa kununua viatu vingi katika kurekodi kwa filamu ya ''Raiders of the Lost Ark'', Ford alisisitiza kuwa buti zilizohitajika zinunuliwe kutoka duka la Fritz. Timu ya kurekodi na uzalishaji wa filamu wakaheshimu ombi lake.Fritz aliuza jozi nyingi za buti katika kurekodi kwa filamu hiyo.Hii inatumika kuonyesha uzuri wa viatu vya kampuni ya Alden na hasa viwango vyake vya juu. Viatu hivyo vya Alden vinajulikana ,pia , kwa sifa ya kudumu sana. Soli na ngozi zake zikiwa dhabiti na bora.
==Viungo vya nje==
* [http://www.aldenshoe.com/ Tovuti rasmi ya Kampuni ya Alden]