Mdumu mwitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
 
'''Mdumu mwitu''' ni mmea unaokula nyama kwa kutumia mtego uliochimbuka wenye maji ndani. Imedhaniwa kuwa mitego hii yenye maji ndani iliibuka kutoka matawi yaliyojinkunjayaliyojikunja, huku mabadiliko ya viumbe yakipendelea matawi yenye michimbuko mikubwa zaidi katika kipindi cha miaka mingi.
 
Hata hivyo, baadhi ya midumu mwitu wa jenasi kama ile ya ''Nepenthes'') wanajumuishwa katika kikundi tofauti cha mimea wenye matawi kama karatasi yenye gundi. Hili linaonyesha kuwa mtazamo kuwa wa midumu mwitu kuibukailiibuka kutoka matawi yaliyojikunja huenda hukawa si wa kweli.
 
Bila kujali jinsi mmea huu ulivyobadilika, wadudu wanaotambaa na wanaoruka ikiwemo nzi huvutiwa kwa mchimbuko huo ulioundwa na tawi, mara nyingi kwa rangi na maji yenye suakrisukari. Pande za tawi huenda zikawa zinatelezwazinateleza na kuumbwazimeumbwa kwa njia inayowafanya wadududwadudu washindwe kutoka pindi wanapoingia ndani.