Tofauti kati ya marekesbisho "Uainishaji wa kisayansi"

61 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Nyongeza: mhr:Биологий классификаций; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: mhr:Биологий классификаций; cosmetic changes)
[[imagePicha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi]]
 
'''Uainishaji wa kisayansi''' ni namna jinsi wataalamu wa [[biolojia]] hupanga [[viumbehai]] kama [[mimea]] na [[wanayama]] kwa vikundi kwenye ngazi mbalimbali. Inaweza kuitwa pia '''taksonomia'''.
Ujuzi wa kisasa kutokana na utafiti wa [[DNA]] ndani ya seli za viumbehai unaendelea kuongeza ujuzi wetu kwa hiyo katika mengi uainishaji ni utaalamu unaozidi kubadilika.
 
== Majina ya Kisayansi ==
Kila spishi ya viumbehai inapewa jina la kisayansi lenye maneno mawili kufuatana na muundo wa uainishaji. Jina la Kisayansi linaanza kwa kutaja [[jenasi]] inayoandikwa kwa herufi kubwa halafu neno la pili kama sehemu maalum ya jina ya spishi ile. Kwa mabano hufuata jina la mtaalamu wa spishi pamoja na mwaka alikoandika maelezo yake.
 
Kwa mfano [[paka]] anaitwa ''Felis silvestris (Linnaeus 1758)'' na spishi hii inajumlisha paka wa porini na paka wa nyumbani.
* [[Felis]] ni jina la jenasi. Jenasi huandikwa kwa herufi kubwa.
* "silvestris" ni sehemu ya pili la neno; linasema "wa msituni" kwa sababu inaaminiwa ya kwamba asili ya paka hizi zote ni aina ya paka wa porini wa Asia, Ulaya na Afrika Kaskazini.
 
Paka wa nyumbani anayefugwa na watu anatazamiwa kama nususpishi na nususpishi hii inaweza kutofautishwa kwa kuongeza neno la tatu "catus" kuwa "''Felis silvestris catus''".
Katika mabano lipo jina la mtaalamu aliyeeleza spishi hii mara ya kwanza kwa namna ya kisayansi pamoja na mwaka alipoandika. Katika mfano wa paka ni Carolus Linnaeus anayefupishwa mara nyingi kama "L.". Aliandika kitabu chake mwaka [[1728]].
 
== Umbo la majina katika uinishaji ==
Katika ainishaji wataalamu wamepatana jinsi ya kutumia majina kwa ngazi mablimbali. Umbo la majina haya hufuata [[sarufi]] ya [[Kilatini]].
 
{| class=wikitable
|-
! Ngazi !! [[Mimea]]<br />(planta)!! [[Mwani]]<br /> (algae) !! [[Nyoga]]<br />(fungi) !! [[Wanyama]]<br />(animalia)
|-
! Faila
{{mbegu-biologia}}
 
[[CategoryJamii:Uainishaji]]
 
[[af:Wetenskaplike klassifikasie]]
[[lt:Mokslinė klasifikacija]]
[[lv:Organismu klasifikācija]]
[[mhr:Биологий классификаций]]
[[mr:जैविक वर्गीकरण]]
[[ms:Pengelasan biologi]]
43,953

edits