Tofauti kati ya marekesbisho "Edward Albee"

26 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
d
{{defaultsort}}
d (robot Adding: pt:Edward Albee, sk:Edward Albee)
d ({{defaultsort}})
'''Edward Franklin Albee''' (amezaliwa [[12 Machi]], [[1928]]) ni mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa [[tamthiliya]] yake “Nani Anaogopa Virginia Woolf?” (kwa Kiingereza: ''Who’s Afraid of Virginia Woolf?'') iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' miaka ya 1967, 1976 na 1992.
 
{{DEFAULTSORT:Albee, Edward}}
[[Category:Waandishi wa Marekani|A]]
[[Category:TuzoWaandishi yawa Pulitzer|AMarekani]]
[[Category:WaandishiTuzo waya Marekani|APulitzer]]
 
{{mbegu}}