James Kirkwood : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
d {{defaultsort}}
Mstari 1:
'''James Kirkwood''' ([[22 Agosti]], [[1924]] – [[21 Aprili]], [[1989]]) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na [[Nicholas Dante]], igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza ''A Chorus Line'' lililotolewa 1975. Mwaka wa [[1976]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya igizo hilo.
 
{{DEFAULTSORT:Kirkwood, James}}
[[Category:Waandishi wa Marekani|K]]
[[Category:TuzoWaandishi yawa Pulitzer|KMarekani]]
[[Category:WaandishiTuzo waya Marekani|KPulitzer]]
 
{{mbegu}}