Kisonono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Kisonono''' ni maradhi ya zinaa ambayo husababishwa na bakteria zinazofahamika kisayansi kama ''Neisseria gonorrhoeae''. Bakteria hizo hushambulia utandotelezi unaozun...'
 
No edit summary
Mstari 13:
Uchunguzi wa ugonjwa hufanywa kwa kuchungunza usaha kutoka katika uke au uume au mkojo kwa uwepo wa ''Neisseria gonorrhoeae''.
 
Kisonono iliongezeka kwa kiasi kikubwa [[Marekani]] mnamo miaka ya [[1970]] na mwanzoni mwa miaka ya [[1980]], hadi kukaribia kufikia kiwango cha [[magonjwa ya mlipuko]] (''epidermicepidemic proportions'') kwa vijana wanaobalehe na [[vijana wa umri wa kati]]. [[Kisonono]] hutibiwa kwa [[antibaotiki]] kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya tiba ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma. Moja kati ya mambo magumu katika kupambana na [[kisonono]] ni kutafuta mahusiano yote ya kimapenzi ya nyuma ya aliyeambukizwa ili kuweza kuzuia usambaaji zaidi wa ugonjwa.
 
[[Category:Maradhi ya zinaa|Gonorrhea]]
 
[[ar:سيلان (مرض)]]
[[bg:Гонорея]]
[[ca:Gonocòccia]]
[[cs:Kapavka]]
[[da:Gonoré]]
[[de:Gonorrhoe]]
[[dv:ކިހުނުވުން]]
[[en:Gonorrhea]]
[[et:Gonorröa]]
[[es:Gonorrea]]
[[eo:Gonoreo]]
[[eu:Gonorrea]]
[[fa:سوزاک]]
[[fr:Gonorrhée]]
[[ko:임질]]
[[hi:प्रमेह]]
[[hr:Gonoreja]]
[[io:Gonoreo]]
[[id:Kencing nanah]]
[[it:Gonorrea]]
[[he:זיבה]]
[[kk:Соз]]
[[ht:Gonore]]
[[la:Gonorrhoea]]
[[lt:Gonorėja]]
[[hu:Kankó]]
[[mk:Гонореа]]
[[ms:Gonorea]]
[[nl:Gonorroe]]
[[ja:淋病]]
[[no:Gonoré]]
[[nn:Gonoré]]
[[nds:Drüpper]]
[[pl:Rzeżączka]]
[[pt:Gonorreia]]
[[ru:Гонорея]]
[[simple:Gonorrhea]]
[[sl:Gonoreja]]
[[sr:Гонореја]]
[[fi:Tippuri]]
[[sv:Gonorré]]
[[tl:Gonorea]]
[[ta:கொணோறியா]]
[[te:సెగవ్యాధి]]
[[tr:Belsoğukluğu]]
[[uk:Гонорея]]
[[vi:Lậu mủ]]
[[zh:淋病]]