Kisonono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13:
Uchunguzi wa ugonjwa hufanywa kwa kuchungunza usaha kutoka katika uke au uume au mkojo kwa uwepo wa ''Neisseria gonorrhoeae''.
 
Kisonono iliongezeka kwa kiasi kikubwa [[Marekani]] mnamo miaka ya [[1970]] na mwanzoni mwa miaka ya [[1980]], hadi kukaribia kufikia kiwango cha [[magonjwa ya mlipuko]] (''epidemic proportions'') kwa vijana wanaobalehe na [[vijanawatu wa [[umri wa kati]]. [[Kisonono]] hutibiwa kwa [[antibaotiki]] kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya tiba ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma. Moja kati ya mambo magumu katika kupambana na [[kisonono]] ni kutafuta mahusiano yote ya kimapenzi ya nyuma ya aliyeambukizwa ili kuweza kuzuia usambaaji zaidi wa ugonjwa.
 
Kisonono hutibiwa kwa [[antibaotiki]] kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya tiba ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma. Moja kati ya mambo magumu katika kupambana na [[kisonono]] ni kutafuta mahusiano yote ya kimapenzi ya nyuma ya aliyeambukizwa ili kuweza kuzuia usambaaji zaidi wa ugonjwa.
[[Category:Maradhi ya zinaa|Gonorrhea]]
 
[[Category:Maradhi ya zinaa|GonorrheaKisonono]]
 
[[ar:سيلان (مرض)]]