Bantustan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|350px|Ramani za Bantustan za Afrika Kusini '''Bantustan''' ilikuwa eneo katika Afrika Kusini wakati wa siasa ya Apartheid lililotengani...
 
No edit summary
Mstari 12:
Bantustan kadhaa zilitangazwa kuwa nchi huria lakini hazikutambuliwa na umma wa kimataifa.
Hizi zilikuwa:
*[[Transkei]]
*[[Venda]]
*[[Bophuthatswana]]
*[[Ciskei]]
 
Zingine zilipewa madaraka ya utawala wa ndani kama vile
*[[KwaZulu]]
*[[Lebowa]]
*[[QwaQwa]]
*[[Gazankulu]]
*[[KaNgwane]]
*[[KwaNdebele]]
 
Katika Namibia bantustan zifuatazo zilipewa madaraka ya utawala wa ndani:
*[[Ovamboland]]
*[[Kavangoland]]
*[[East Caprivi]]
 
==Shabaha za siasa za Bantustan==