Wikipedia:Jumuiya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 133:
==Tufunge uhariri kwa wale waliojiandikisha?==
Napendekeza kufungs uharitri wa makala kwa watumiaji waliojiandikisha. Uhalifu wote hadi sasa ilikuwa ya watu bila jina. Leo nilirudisha "[[Msaada wa kuanzisha makala]]" baada ya uhalifu. Hatujakuwa na matatizo mengi bado lakini ilhali tuko wachache inasumbua hata hivyo. Wasimamizi wenzangu: Je kuna kizuizi chochote tukiruhusu uhariri wote kwa waliojiandikisha tu? --[[User:Kipala|Kipala]] 20:57, 27 Februari 2007 (UTC)
: (Sorry for the English, but I've only got 5 minutes, and it takes me ages to write even half comprehensible Swahili...) You're suggesting we limit editing only to those who have registered. This has been proposed and debated many times elsewhere, but for better or worse -- and to cut a long story short -- Wikimedia Foundation has settled it: see [http://meta.wikimedia.org/wiki/Foundation_issues]. That is, we have to allow anonymous edits. The advantage is that the barrier to contributing is as low as possible; the cost is that we have to deal with more vandalism. But in truth, there's not really all that much vandalism on sw currently, at least by the standards of en (and I imagine the other larger language editions too). An admin spending a minute each day is more than enough to keep on top of it. [[User:Matt Crypto|Matt Crypto]] 23:06, 27 Februari 2007 (UTC)
 
 
[[af:Wikipedia:Geselshoekie]]