Jeromu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: it:San Girolamo
d roboti Badiliko: it:Sofronio Eusebio Girolamo; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:Michelangelo Caravaggio 057.jpg|thumb|250px|''Mt. Jeromu'' alivyochorwa na [[Caravaggio]].]]
 
'''Jeromu''' au '''Yeronimo''' (347-420) alikuwa [[padri]], [[mmonaki]] na mtaalamu wa [[Biblia]], aliyemudu vizuri [[lugha]] zote za [[Biblia]] pamoja na [[Kilatini]].
Mstari 7:
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila tarehe [[30 Septemba]].
 
== Maisha ==
 
Alizaliwa mwaka [[347]] huko [[Strido]], sehemu za [[Dalmazia]] (leo [[Croatia|Korasya]]).
 
Alisomea [[Roma]], mwaka [[379]] kisha kupewa [[upadri]] na [[askofu]] [[Paulino wa Antiokia]] alikwenda [[Konstantinopoli]] alipokamilisha ujuzi wake wa [[lugha]] ya [[Kigiriki]] chini ya [[Gregori wa Nazianzo]].
 
Baada ya kuishi kama [[mmonaki]] miaka 3 akarudi Roma ([[382]]), alipoteuliwa na [[Papa Damaso I]] kuwa [[karani]] wake.
 
Baada ya papa huyo kufa, upinzani dhidi yake ulizidi, akahamia [[Mashariki ya Kati]], alipoanzisha [[monasteri]] kadhaa za kike na za kiume akaishi katika mojawapo hadi kufa ([[420]]).
 
== 'Vulgata' ==
Mstari 21:
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.documentacatholicaomnia.eu/20_40_0347-0420-_Hieronymus,_Sanctus.html Maandishi yake yote katika [[Patrologia Latina]] ya Migne pamoja na [[faharasa]]]
 
{{Walimu wa Kanisa}}
 
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 347]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 420]]
[[CategoryJamii:Mapadri]]
[[CategoryJamii:Wamonaki]]
[[CategoryJamii:Mababu wa Kanisa]]
[[CategoryJamii:Walimu wa Kanisa]]
[[Jamii:Watakatifu wa Korasya]]
 
Mstari 55:
[[ia:Jeronimo]]
[[id:Hieronimus]]
[[it:SanSofronio Eusebio Girolamo]]
[[ja:ヒエロニムス]]
[[ko:히에로니무스]]