Mankato Free Press : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox gazo | jina = Mankato Free Press | jina la gazeti = Mankato Free Press | picha = | aina = Gazeti la kuchapisha kila siku | lilianzishwa = 4 Aprili 1887 | e...'
 
Mstari 21:
 
==Kuhusu Gazeti Hili==
TareheMnamo 4 Aprili 1887, Mhariri L.P. Hunt alichapisha toleo la kwanza la ''Mankato Daily Press'' na akagundua halikuwa kazi rahisi. Katika kuomba msamaha kutoka kwa wasomaji wake, Hunt aliandika, "Kazi ya kuchapisha idadi ya hapo awali ya nakala za gazeti hili ni gumu kuliko watu wasiohusika na kazi ya magazeti wanavyojua ama wanavyoambiwa kuwa. Ukweli ni kwambakuwa gazeti la leo la ''Daily Free Press'' limekuwa fupi kwa matumizi ya telegrafia ,na vilevile vitu vingine lakini bado lilikuwa ngumu kwa wafanyikazi wetu kulichapisha na tunahisitunaomba kuwa watu watatuvumilia siku moja au mbili tukiwa tukinyoosha 'mercheen' zetu."
Tangu wakati ule, 'mercheen' imeendelea kuchapisha magazeti yao katika eneo la Mankato kwa miaka 100 bila shida yoyote.
 
Chapisho la seminali lilikuwa ''Independent'' lililoanza kuchapishwa katika mwaka wa 1857. Miaka sita baadaye, jarida hili lilinunuliwa na Charles Slocum na likaitwa ''Mankato Union''. Kisha katika mwaka wa 1880, gazeti la ''Union'' na gazeti shindani lake katika eneo la Mankato, ''Record'' yakaungana na kuwa gazeti la wiki la ''Mankato Weekly Free Press''. Liliendelea kama gazeti la wiki hadi mwaka wa 1887 lilipokuwa gazeti la kila siku. Lilianza kama gazeti la kihafidhina la ''Republican'' na likabaki kuwa hivyo hadi sasa. Katika mwaka wa 1970, gazeti lilitoa neno "Mankato" kutoka jina lake. Neno "Daily" lilikuwa limeondolewa katika mwaka wa 1940..
 
Mmiliki wa mwisho wa gazeti hili alikuwa Jared How, aliyeuza kampuni ya The Free Press kwa Shirika la Ottaway Newspapers (kitengo cha kampuni ya Dow Jones na Wenzake). Ottaway ilinunailinunua asilimia 11 ya kampuni hiyo katika mwaka wa 1977 na asilimia ilyobaki katika mwaka wa 1979. Katika mwaka wa 2002, Ottaway iliuza ''The Free Press'' na magazeti mengine kwa Shirika la Community Newspaper Holdings.
Katika mwaka wa hamsini wa uchapishaji wa gazeti hili, usambazaji wa ''The Free Press'' ulikuwa nakala 12,000; hivi leo usambazaji wake ni nakala 22,629 kila siku. Huchapisha ,pia, magazeti ya ''Mankato Magazine'' na ''The Land''- gazeti kuhusu ardhi na vijiji katika eneo la Minnesota. Hutumikia wasomaji wake kwa tovuti ya http://www.mankatofreepress.com iliyoanzishwa katika mwaka wa 1994 na hivi sasa hii ndiyo tovuti maarufu katika eneo hilo.
 
==Katika Gazeti==