Kampuni ya Magazeti ya Community : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox kampu | jina = Kampuni ya Magazeti ya Community | jina la kampuni = Kampuni ya Magazeti ya Community | picha = | ilianzishwa = Januari 1991 | mwanzilishi ...'
 
Mstari 17:
 
==Mali==
Jarida maarufu kabisa la CNC ni ''The MetroWest Daily News'' ambalo lina makao yake [[Framingham]], [[Massachusetts]]. Magazeti matatu mengine ya ''Daiily News'' katika maeneo ya [[Boston]] ,pia, yanamilikiwa na CNC.
 
Tangu katikati mwa mwaka wa 2006, CNC na kampuni mbili shindani zilinunuliwa na GateHouse Media. Magazeti ya kila siku ya CNC na ya kila wiki yamekuwa yakifanya kazi pamoja na gazeti la ''[[The Enterprise]]'' katika [[Brockton]] na ''[[The Patriot Ledger]]'' katika [[Quincy]]. Hivi majuzi, gazeti limeundaliliunda uhusiano mwema na gazeti la ''The Herald News'' ya [[Fall River]] na ''Taunton Daily Gazette'' ambayo ni majarida yaliyonunuliwa na kampuni ya GateHouse. Magazeti haya manne yaliendelea kufanya kazi katika usimamizi wao wa wa zamani lakini hawahesabiwi kama sehemu ya Kampuni ya Magazeti ya Community(CNC).
 
==Magazeti==