Kampuni ya Magazeti ya Community : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 22:
 
==Magazeti==
CNC inachapisha zaidi ya magazeti 100: ya kila wiki, ya kila nusu wiki na ya kila mwezi. Kila chapisho linaorodheshwa katika moja ya vitengo vitano, ambavyo kila kimoja kina Mhariri wake Mkuu,. Vitengo vinavyohusishavinahusisha maeneo ya kijiografia mashariki mwa Massachusetts na vina majina yao kulingana na eneo lao katika Boston.
 
Kitengo cha Magharibi kinaendesha magazeti yote manne ya kila siku, yakiongezwa kwa magazeti ya kila wiki yanayochapishwa na CNC; kitengo cha Kusini kinahusisha magazeti kadhaa ya kila wiki yanayoshindana na magazeti mengine manne ya kila siku ya GateHouse Massaachusetts.