Arigoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Argon
d roboti Nyongeza: zh-yue:氬; cosmetic changes
Mstari 11:
| densiti husianifu =
| kiwango cha kuyeyuka= 83.80 [[K]] (−189.35 [[°C]])
| kiwango cha kuchemka= 87.30 K (−185.85  °C)
| kiwango utatu = 83.8058 K
| % ganda dunia = 4 · 10-4 %
Mstari 19:
'''Arigoni''' (kut. [[kigiriki]] ἀργό(ν) „mvivu“ kwa sababu haipende kumenyuka kikemia) ni [[elementi]] yenye [[namba atomia]] '''18''' na [[uzani wa atomi]] 39.948. Alama yake ni '''Ar'''.
 
Duniani yapatikana katika [[angahewa]] kama gesi adimu na bwete isiyo na rangi wala ladha. Kwa sababu ya tabia yake ya ubwete kampaundi asilia hazijulikani ila tu zimetengenezwa katika maabara. Katika angahewa ni gesi adimu inayopatikana kwa wingi kwa sababu asilimia moja ya hewa yote ni arigoni.
 
Inapatikana wakati wa kupoza hewa kwa shabaha ya kupata oksijeni au hidrojeni ya kiowevu.
 
Kutokana [[ubwete]] wake hutumiwa kama gesi ya kuzuia mmenyuko kwa mfano katika [[vizima moto]] au ndani ya [[balbu]] inapochelewesha kuchomwa kwa nyuzi za balbu.
 
[[Category:Elementi]]
[[Category:Simetali]]
[[Category:Gesi adimu]]
 
<gallery>
file:Argon ice 2.jpg|Kipande cha barafu ya arigoni katika tesitubu kikiyeyuka
file:ArTube.jpg
</gallery>
 
[[CategoryJamii:Elementi]]
[[CategoryJamii:Simetali]]
[[CategoryJamii:Gesi adimu]]
 
[[af:Argon]]
Line 123 ⟶ 122:
[[yo:Argon]]
[[zh:氩]]
[[zh-yue:氬]]