Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 23:
 
Ndugu Limoke, salaam! Wakati wa shindano, makala nyingi zimeanzishwa bila kuwekewa yaliyomo hata kidogo, nasi wanawikipedia hatukuwa na nafasi ya kurekebisha sana. Kwa hiyo sasa, naomba tusaidiane kusawazisha hizo makala. Kwa mfano, ungeweza kuanza kwa kuangalia [http://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:KurasaZisizonajamii orodha ya makala bila jamii]. Bila shaka utagundua kadhaa ambazo ni duni, labda yenye maneno mawili matatu tu. Ndivyo nilivyogundua k.m. na makala ya [[Henri Fayol]], mhandisi Mfaransa wa karne ya 19. Sasa ukiangalia [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Henri_Fayol&action=historysubmit&diff=364028&oldid=337882 mabadiliko niliyoyaingiza] utapata mambo ya msingi ya wikipedia. K.m. naingiza kigezo cha '''<nowiki>{{DEFAULTSORT}}</nowiki>''' kwa ajili ya orodha ya makala katika jamii ifuate alfabeti vizuri. Tena naingiza jamii za miaka ya kuzaliwa (k.m. '''<nowiki>[[Jamii:Waliozaliwa 1841]]</nowiki>''') na ya kufariki (k.m. '''<nowiki>[[Jamii:Waliofariki 1925]]</nowiki>'''). Pia, ikiwa ni makala fupi bila maelezo mengi, naingiza kigezo cha '''<nowiki>{{mbegu-mtu}}</nowiki>''' (yaani kama ni mtu). Hatimaye, naingiza kiungo kwa wikipedia ya Kiingereza (k.m. '''<nowiki>[[en:Henri Fayol]]</nowiki>''') ambapo naweza kupata code kwa picha ya mtu (k.m. '''<nowiki>[[Image:Fonds henri fayol.jpg|thumb|right|Henri Fayol]]</nowiki>''') pamoja na habari nyingine. Nitashukuru kwa msaada wako katika kuboresha makala mpya zilizoachwa duni. Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 07:17, 3 Februari 2010 (UTC)
 
nashukuru sana kaka,miye nitajitahidi kiasi niwezavyo koboresha makala ya wikipedia kwani miye ni mtumizi wa wiki kila siku kule chuoni wakati wote na nitafurahia sana japo mtu mwingine pia atapata makala yangu kuwa muhimu.Limoke