Content deleted Content added
Mstari 44:
== angalia majadiliano na ukurasa wa historia ==
Unisamehe nikiendelea kuandika kuhusu usafishaji wa wikipedia baada ya shindano. Nimefurahi sana kuona jinsi ilivyokua wikipedia yetu. Sasa lakini, tukiendelea kuboresha makala zilizoongezeka, tuwe makini. Kabla hatujaongeza au kurekebisha habari za makala fulani, lazima tuangalie majadiliano na ukurasa wa historia ya makala hiyo. Angalia k.m. makala ya [[uchumi]]. Ukiihariri bila kuangalia [[Majadiliano:Uchumi|majadiliano yake]] wala [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Uchumi&action=history historia yake], inawezekana utaongeza kazi ya baadaye kwa vile tafsiri za shindano zilizofuta makala za zamani (pamoja na jamii na interwiki zake) hazijaunganishwa. Nitaendelea kutafuta makala kama hiyo na kuziandikia katika majadiliano yake. Kwa ajili ya kuunganisha tafsiri mbili au zaidi, labda itasaidia ukifungua zote, kila moja katika dirisha lake, na kunakilisha sehemu za makala za zamani kwenda katika makala ya sasa. Pole na kazi. Na asante kwa kazi yako. Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 12:58, 2 Februari 2010 (UTC)
 
== Remarking my articles ==
 
I am so heartbroken. I worked hard for this laptop and just when I thought I was there, it seems now i have a long way to go and I now only depend on God in order to appear among the top 5. I thought what is displayed by one judge on my page has been scrutinized thoroughly and is final!! How did this happen?! Somebody please tell me!!!'''[[Mtumiaji:Coolsam726|Coolsam726]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Coolsam726|majadiliano]])''' 04:03, 3 Februari 2010 (UTC)
:Salam, Samson! What makes you worry about? Jamani, wewe ndo mshindi wa kwanza jamani. So, don't be heartbroken again. Please trust me. Halafu? Jamani hii si nzuri hata kidogo (likitokea jambo la kuweka mambo sawa) nyie mwaanza kulalamika kama mwatolewa nafsi. Khe! Jamani hatwendi hivyo!!! Ili ukue, unatakiwa uwe na vitu kama hivi (ukoasiaji wa kimakala na kadhalika), lakini sio kukulupuka tu jamani eeeh! Kwa jinsi ninavyoona mimi na kwa hesabu ya makala zako zote ninapata kama 240... na kadhaa hivi, na kukufanya kuwa mshiriki wa kwanza kuwa na maxi nyingi kupita wote! Hapo je unasemaje? Sam, nina kuamini - nini tena lawama? Haya, wa pili katika hao ni hadi sasa ni Abbas Mahmoud (sijui kuhus Kandyzo ambaye anaonekana kuandika makala nyingi naye). Wengine ni kama Maria Alphonce na... Basi Samoson hongera!!! Karibu sana katika Wikipedia. Wako,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 07:14, 3 Februari 2010 (UTC)
::Haya! Unadhani kwamba huna haki ya kulalamika pindi uonapo kitu kama kile? Hata kama ningekuwa miye, basi ningelalama! Lakini pia sikupenda kufanya vile, ila ilinibidi!!! Ni tumaini langu kuendelea kuchangia kwa furaha... Bado laptop ni yako baba kama ulivyosema hehehehehehe... You're almost weep out, man. Lakini pia tuendelee kuchangia hata baada ya shindano kwisha. Tena tutakuwa na uchaguzi wa kukabidhi watu wapya madaraka. Watu hao ni pamoja na Wewe, Limoke, Abbas, Kandyzo, na wengineo watakaotaka kubakia kwenye Wikipedia yetu! Je, hii ni shwari kwako? Basi twende kazi! Nikiwa ninatokea Dar es Salaam, Tanzania, niite Muddyb au,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 10:00, 3 Februari 2010 (UTC)
:::Hehehe... Wanifurahisha sana Mwanaharakati. Ninakubali nina haki ya kulalamika lakini pia wajua si vyema mtu kulalama ovyo ovyo na hiyo si tabia yangu kamwe, ndiyo maana nikaamua kujirekebisha kwa kuomba msamaha. Asante sana kwa yote. Nitapenda sana kubakia kwa Wikipedia, kwa hivyo kwangu hayo ni shwari kabisa.
Basi nami nikitokea Magharibi mwa Kenya, una hiari ya kuniita Sam au=>'''[[Mtumiaji:Coolsam726|Coolsam726]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Coolsam726#top|majadiliano]])''' 10:33, 3 Februari 2010 (UTC)