Content deleted Content added
Mstari 27:
 
:Ndugu Limoke, asante kwa jibu lako. Nimefurahi kusikia kuwa utaendelea. Unisamehe nikiendelea kuandika kuhusu usafishaji wa wikipedia baada ya shindano. Sababu hasa ni kwamba tukiendelea kuboresha makala zilizoongezeka, tuwe makini. Kabla hatujaongeza au kurekebisha habari za makala fulani, lazima tuangalie majadiliano na ukurasa wa historia ya makala hiyo. Angalia k.m. makala ya [[uchumi]]. Ukiihariri bila kuangalia [[Majadiliano:Uchumi|majadiliano yake]] wala [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Uchumi&action=history historia yake], inawezekana utaongeza kazi ya baadaye kwa vile tafsiri za shindano zilizofuta makala za zamani (pamoja na jamii na interwiki zake) hazijaunganishwa. Nitaendelea kutafuta makala kama hiyo na kuziandikia katika majadiliano yake. Kwa ajili ya kuunganisha tafsiri mbili au zaidi, labda itasaidia ukifungua zote, kila moja katika dirisha lake, na kunakilisha sehemu za makala za zamani kwenda katika makala ya sasa. Pole na kazi. Na asante kwa kazi yako. (Pia, ukiandika kwenye kurasa za majadiliano, ungeweza kutia sahihi kwa kutaipu '''<nowiki>~~~~</nowiki>''' ukiwa umesajiliwa kama [[Mtumiaji:Limoke oscar|Limoke oscar]].) Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 04:08, 4 Februari 2010 (UTC)
 
 
Ahsante sana '''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]]'''lakini miye bado nasumbuliwa sana na the technical bits za wiki,kama vile kuandika infobox,vigezo n.k. naomba sana kama ungeweza kunisaidia kidogo na kwanza nitaanza kwa kuboresha makala yangu binafsi kwa sababu nafahamu kuwa makala yenyewe sikuzingatia haswa kanuni za wiki.Miye '''[[Mtumiaji:Limoke oscar|Limoke oscar]]'''.