Tofauti kati ya marekesbisho "U"

21 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: ace:U; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: be:U, літара)
d (roboti Nyongeza: ace:U; cosmetic changes)
|[[Picha:RomanU-01.png]]
|- align="center" valign="top"
! Kisemiti asilia:
picha ya kingoe
! [[Kifinisia]]:
Waw
! [[Kigiriki]]:
ipsilon
! [[Kietruski]]:
V
! [[Kilatini]]:
V
! Kilatini Kipya:
U

Alama ya U kiasili haikupatikana katika Kilatini cha Kale. Iliandikwa kama V na matamshi yake yalitegemea nafasi yake katika neno pia lahaja mbalimbali. Tofauti ilikubwaliwa tu wakati wa Kilatini Kipya katika karne ya 16 ambako wataalamu wa Ulaya walikubaliana kutumia alama yenye kona V kwa sauti ya [[konsonanti]] na alama isiyo na kona U kwa [[vokali]].
Wafinisia walikuwa na "waw" iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya fimbo la kingoe au kiopoo. Wagiriki wa Kale walichukua alama hiyo na kuitumia kwa namna mbili: kwa umbo moja kama [[digamma]] (tazama [[F]]) na umbo la pili kama "[[ipsilon]]" bila kujali maana asilia ilitaja sauti kati ya "u" na "i".

Waitalia ya kwanza wakaendelea kutumia alama kwa aina ya "u" lakini pia "w" kama ilikuwa mwanzoni wa neno. Waroma walipokea vile.

[[Jamii:Alfabeti]]

[[ace:U]]
[[af:U]]
[[als:U]]
44,022

edits