Nishati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+en:
Mstari 7:
[[Image:Lightning over Oradea Romania 2.jpg|thumb|right|258px|[[Radi]] ni uvunjiko wa nguvu za kiumeme katika hewa unaotokana na uwindi umeme mkali(kutoka nishati uweza kiumeme na kuwa nishati ya kimakanika ya mwendo hovyo wa kimolekyuli(kusuguana nakufanya Ngurumo,[[Joto]], na [[Mwanga]]).]]
 
 
 
==Aina Za Nishati==
 
Hutokana na asili au chanzo chake. Zifuatazo ni Baadhi yake:-
 
Line 24 ⟶ 20:
 
==Makundi ya Nishati==
 
Nishati kuwekwa katika makundi kulingana na matumizi ya mwanadamu na ukubwa wa uhitaji wake katika sura ya kijamii halafu pia na aina ya matumizi.
 
 
==Nadharia Juu Ya Nishati==
 
 
Fizikia hueleza nishati na tabia zake kimaumbile na msababisho kimatukio. Nayo tajwa kama nadharia; kufafanua mienendo.
 
 
===Ufafanuzi===
 
 
Ni nguvu iwezeshayo kazi kufanyika.
 
Line 66 ⟶ 55:
 
===Kanuni ya Uhifadhi Sawia Wa Nishati===
 
 
Hii ni kanuni inayo elezea mbadilishano wa nishati kutoka hali moja hata nyingine; nayo inasema:
 
Line 75 ⟶ 62:
 
Vile vile nishati inaposababisha tukio ambalo nishati za aina ingine kutukia, basi kiasi cha tathmini yake ni sawa sawa na nishati iliyosababisha.
 
 
 
'''Mifumo perepetua ya kimakanika'''
 
Mfano wa kanuni hii unaonekana kwenye bembea kama ile kwenye saa ya ukutani ya kimakanika. Jiwe la kuning'inia linapofika usawa wa juu kabisa; huwa na nishati uweza ya juu kabisa. Halafu Nishati Mwenendo huwa ni sifuri pale linapokuwa limesimama kabla ya kubembea na kuruidi chini. Katika hali ya wima kabisa, nishati uweza huwa ni sifuri na wakati nishati mwenendo huwa juu kabisa. Na hivyo kufanya mabadilishano ya Nishati Uweza na Nishati Mwenendo vinavyohusiana katika mifumo ya kazi za kimakanika.
 
 
 
'''Changamoto ya Nadharia ya Uhifadhi Sawia wa Nishati'''
Line 90 ⟶ 73:
*[[Nishati Nukta Sifuri]]
 
[[en:Energy]]
 
 
 
 
 
[[Category:Fizikia]]