Ajali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho dogo tu...
d roboti Nyongeza: arc:ܓܕܫܐ; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:Partial stadium collapse at Big12 college football championship - 2005.JPG|right|thumb|Kitalu cha benchi chaanguka katika mchezo wa soka katika chuo, kikiwabwaga mashabiki kwenye pande.]]
 
'''Ajali''' ni tukio maalumu linalotambulika na lisilotarajiwa, geni na lisilotakikana ambalo hutokea katika muda na mahali fulani bila sababu au makusudi dhahiri, lakini husababisha madhara yaliyo wazi. Ajali hudokeza kwa ujumla matokeo mabaya ambayo labda yangeweza kuepukwa au kukingwa ikiwa matukio yaliyosababisha ajali hiyo yangetambuliwa, na kurekebishwa, kabla ya tukio hilo.
Mstari 9:
Ajali ya aina ya kawaida (magari, moto, nk) huchunguzwa ili kubaini jinsi ya kuepukana nazo katika siku zijazo. Mara nyingine hii hujulikana kama Uchambuzi wa sababu ya asili, lakini haihusu ajali ambazo haziwezi kutabiriwa. Sababu haswa ya ajili ya nadra isiyoweza kuepukwa huenda ikawa haiwezi tambulika, na kwa hivyo matukio ya siku zijazo zitabaki kuwa "ajali."
 
== Ufafanuzi ==
Unapofafanua kinaganaga, ajali huweza kutaja tukio lenyewe pekee, bila kuzingatia mazingira ya tukio hilo, au athari za tukio hilo, yaani "ajali" huishia katika tukio la mara moja, ambalo huleta athari ambazo hazikutarajiwa. Katika matumizi ya kawaida, hata hivyo, 'ajali' huenda ni pamoja na mfumo mzima wa mazingira (fursa, iliyokuwepo awali, au matokeo yanayojiendeleza bila kuthibitishwa; matokeo ya kawaida; wakati na mahali yasiyoweza kutabiriwa; washiriki; nk) yanayoelekea, pamoja na, kusababishwa na tukio hilo.
== Aina ==
=== Kimaungo na yasiyo ya kimaungo ===
Mifano ya kimaungo ni kama, migongano isiyotarajiwa au maanguko, kujeruhiwa kwa kugusa kitu kali, moto, au umeme, au kunywa sumu. Mifano ya ajali isiyo ya kimaungo ni kama, kutoboa siri bila kutaka au kusema kitu kimakosa, kusahau miadi, nk
 
 
 
=== Katika Shughuli ===
 
* Ajali wakati wa utekelezaji wa kazi huitwa ajali kazini.
* Kwa kulinganisha, ajali zinazotupata tukibarizi au tunapostarehe huwa sanasana ni majeraha ya michezo.
 
 
 
=== Kwa gari ===
 
* [[Ajali ya baisikeli]]
Mstari 30:
* [[Ajali ya meli]]
* [[Ajali la Reli]]
== Sababu za kawaida ==
[[FilePicha:Accidents.png|thumb|300px|Matukio ya ajali, yakibainishwa kwa shughuli.]]
 
Kwa majeraha ya kimwili yanayopeleka watu kulazwa hospitalini, nyingi huwa ni ajali za barabara na kuanguka.
== Tazama pia ==
* [[Majeraha]]
* [[Uwezekano wa ajali]]
* [[Usalama angani]]
** [[Ajali na matukio katika anga]]
** [[Orodha ya ajali za ndege]]
Mstari 48:
** [[Usalama wa gari]]
* [[Usalama wa vilipuko]]
* Orodha ya ajali za reli:
 
 
* [[Ajali za Reli kabla ya 1950]]
* [[Ajali za Reli 1950-1999]]
* [[Ajali za Reli 2000-hadi leo]]
* [[Orodha ya vifo vilivyosababishwa na ajali za reli]]
 
* [[Orodha ya ajali za kinyuklia]]
Mstari 66:
** [[Uthibitisho hakuna kosa]]
* [[Jibini la Uswisi]]
* [[Ajali la Reli]]
* [[Usalama mahali pa kazi]]
** [[Orodha ya usalama kazini]]
** [[Nguo za kujikinga]]
** [[Taaluma ya afya na usalama kazini]]
** [[Ukubwa wa ajali]]
* [[Uchambuzi wa Ajali]]
 
== Viungo vya Nje ==
{{Commons cat|Accidents|{{PAGENAME}}}}
 
* [http://www.accidents.com Ajali](Kuumia kibinafsi na uganga baya)
* [http://www.europa.eu.int/comm/transport/care/index_en.htm Ajali za kijamii katika Barabara ya Ulaya](CARE)
* [http://www.gotsafety.org Uko na Usalama] (Vidokezo na maelezo ya usalama)
* [http://www.car-accidents.com Ajali ya magari tovuti rasmi] (Maelfu ya Picha, na Aina ya ajali.)
 
 
 
[[Jamii:Ajali]]
 
[[arc:ܓܕܫܐ]]
[[bg:Авария]]
[[cs:Havárie]]
Line 91 ⟶ 90:
[[de:Unfall]]
[[en:Accident]]
[[es:Accidente]]
[[eo:Akcidento]]
[[es:Accidente]]
[[fa:حادثه]]
[[fi:Vahinko]]
[[fr:Accident]]
[[gl:Accidente]]
[[he:תאונה]]
[[id:Kecelakaan]]
[[is:Slys]]
[[it:Sinistro (assicurazione)]]
[[heja:תאונה事故]]
[[lt:Avarija]]
[[mg:Loza]]
[[ms:Kemalangan]]
[[nl:Ongeluk]]
[[ja:事故]]
[[nn:Ulukke]]
[[pl:Awaria]]
Mstari 111:
[[scn:Accidenti]]
[[simple:Accident]]
[[fi:Vahinko]]
[[sv:Olycka]]
[[tl:Aksidente]]
[[te:ప్రమాదము]]
[[th:อุบัติเหตุ]]
[[tk:Awariýa]]
[[tl:Aksidente]]
[[uk:Аварія]]
[[yi:אקצידענט]]