Daniel Comboni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+def |
|||
Mstari 1:
[[Image:Comboni.jpg|thumb|right|180px|
'''Daniele Comboni''' ([[Limone sul Garda]], [[Italia]] [[15 Machi]] [[1831]] - [[Khartoum]], [[Sudan]], [[10 Oktoba]] [[1881]]), alikuwa [[mmisionari]] wa [[Kanisa Katoliki]] nchini Sudan.
Ndiye aliyeanzisha shirika la Wamisionari wa [[Moyo Mtakatifu]] wa [[Yesu]] na shirika la [[Masista wa Afrika]], yaani ''[[Wamisionari Wakomboni]]'' na ''[[Masista Wakomboni]]''.
Alitangazwa kuwa [[mtakatifu]] na [[Papa Yohane Paulo II]] tarehe [[5 Oktoba]], [[2003]].
Sikukuu yake ni [[10 Oktoba]].
Line 36 ⟶ 37:
{{Mbegu-Mkristo}}
{{DEFAULTSORT:Comboni, Daniele}}
[[Category:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Wamisionari]]
|