Ubaguzi wa rangi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 78.23.68.29 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Obersachsebot
Mstari 1:
hallo '''Ubaguzi wa rangi''' ni kitendo cha kuthamini au kutenga [[binadamu]] kwa misingi ya rangi za [[ngozi]]. Ubaguzi wa rangi ulikuwa maarufu sana katika nchi kama [[Afrika Kusini]] kwa jina la "[[apartheid]]" na [[Marekani]] kwa jina la "segregation" ambapo huko Waafrika walikandamizwa kutokana na rangi yao katika kupata huduma mbalimbali za kijamii na kimaendeleo.
 
Wakati wa ukoloni, rangi ilitumika kama msingi wa utoaji huduma muhimu mfano: shule, matibabu na haki nyingine za kibinadamu. Rangi nyeusi ilipewa hadhi ya chini zaidi.