Kongo ya Kibelgiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: lt:Belgijos Kongas
d roboti Badiliko: hu:Belga Kongó; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Flag of Congo Free State.svg|thumbthumbnail|200px|Bendera ya Kongo ya Kibelgiji]]
 
'''Kongo ya Kibelgiji''' ni jina la [[koloni]] ya [[Ubelgiji]] katika [[Afrika ya Kati]] hasa katika [[beseni]] ya [[mto Kongo]] kati ya 1908 hadi 1960. Leo hii ni [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Kati ya 1925 hadi 1946 maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] yalitawaliwa kama sehemu za Kongo ya Kibelgiji.
 
== Koloni binafsi ya mfalme kuwa koloni ya Ubelgiji ==
Kongo ya Kibelgiji ilianzishwa wakati wa kuhamishwa kwa [[Dola huru la Kongo]] kutoka mali ya binafsi ya [[mfalme]] [[Leopold II wa Ubelgiji]] kwenda mkononi mwa serikali ya Ubelgiji mwaka 1908. Utawala wa mfalme ulionekana kuwa kinyama na pinzani dhidi yake ulikuwa katika nchi nyingi za dunia. Alipaswa kukabidhi koloni yake ya binafsi mkonono mwa serikali ya Ubelgiji iliyomlipa fidia kwa mali aliyoacha.
[[ImagePicha:MutilatedChildrenFromCongo.jpg|thumbthumbnail|200px|Picha za watoto waliokatwa mikono kama adhabu chini ya Leopold II zilienea na kusababisha madai ya kumwondolea utawala wa Kongo]]
== Siasa ya Wakoloni ==
Wabelgiji walijitahidi kuboresha hali ya maisha kwa wenyeji baada ya miaka mibaya ya Leopold II. Nia ilicheleweka kuonekana hali halisi kwa sababu utaratibu wa kulazimisha Waafrika kufanyia kazi makampuni na shirika kubwa iliendelea hata bila idhini ya serikali mpya ukadai vifo vingi.
 
Kwenye uwanja wa elimu, matibabu na mawasiliano jitihada za siasa mpya zilionekana zaidi. Kongo ilikuwa kati ya nchi chache ambako lugha za kienyeji zilifundishwa mashuleni kwa sababu shule nyingi ziliendshwa na wamisionari. Kwa upande mwingine ubaguzi wa rangi iliwaruhusu Waafrika wachache sana kufikia ngazi za juu za elimu.
Makampuni makubwa ya migodi kama vile "Société Générale" na "Union Minière du Haut Katanga" yalichimba madini hasa katika jimbo la [[Katanga]]. Makampuni haya yalikuwa na athira kubwa. Katanga ilikuwa maarufu kwa [[shaba]] iliyochimbwa huko halafu pia kwa uranium iliyotumiwa kwa [[bomu ya kinyuklia|bomu za kwanza ya kinyuklia]] za Marekani mwaka 1945.
 
== Upinzani ==
Baada ya unyama wa miaka ya Leopold II upinzani dhidi ya utawala wa kikoloni ulikuwa hafifu. Kuanzia miaka ya 1920 Wakongo wengi walionyesha upizano huu katika mahudhurio katika dhehebu jipya la wafuasi wa [[Simon Kimbangu]] lililopigwa maarufu na Wabelgiji kuanzia mwaka 1926.
 
Tangu 1950 upinzani uliongezeka na kuonyesha pia uso wa kisiasa. Wabelgiji ambao hawakujiandaa kwa madai haya yalipaswa kukubali uchaguzi wa halmashauri za vijiji na miji mwaka 1957. 1958 vyama vya kisiasa vilikubaliwa. Harakati mbili muhimu kati ya hivi zilikuwa Abako (Alliance de Bakongo) chini ya [[Joseph Kasavubu]] na MNC (Mouvement National Congolais) chini ya [[Patrice Lumumba]]. 1959 mkutano wa wanaisasa Wakongo ulidai uhuru wa nchi.
 
== Mwisho wa koloni na uhuru ==
Wabelgiji walijaribu kuchelewesha harakati hizo lakini baada ya kutambua matatizo serikali ya Ubelgiji ilitangaza katika Januari 1960 kuwa uchaguzi utaendeshwa haraka na baada ya miezi sita Wabelgiji watakabidhi nchi kwa wenyeji.
 
Chama cha Lumumba kilishinda kura na Patrice Lumumba alikuwa kiongozi wa kwanza wa nchi huru kama waziri mkuu.
 
== Tovuti za Nje ==
[http://www2.fmg.uva.nl/lpca/aps/vol4/vocabulaireintro.html Historia ya Kongo kwa Kiswahili cha Kishaba (Katanga) " Vocabulaire de ville de Elisabethville" pamoja na tafsiri ya Kiingereza]
 
[[categoryJamii:Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]
[[categoryJamii:Historia ya Ubelgiji]]
[[CategoryJamii: Nchi ya Kihistoria ya Afrika ]]
 
[[ar:الكونغو البلجيكية]]
Mstari 40:
[[fr:Congo belge]]
[[gl:Congo Belga]]
[[hu:Belga- Kongó]]
[[id:Kongo Belgia]]
[[it:Congo Belga]]