Johannes Gutenberg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kadhaa
Mstari 2:
[[Picha:Printer in 1568-ce.png|thumb|175px|Wachapishaji wa karne ya 16]]
[[Picha:Gutenberg.jpg|thumb|right|200px|Johannes Gutenberg]]
'''Johannes Gensfleisch zur Laden zum Gutenberg''' anayejulikana kifupi kama '''Johannes Gutenberg''') (mnamo [[1400s]] - [[3 Februari]] [[1468]]) alikuwa fundi dhahabu na mvumbuzi kutoka Ujerumani aliyebunianayekumbukwa teknolojiakama yambuni kuchapawa [[uchapishaji vitabu]] kwa [[herufi za kusogezeka]]. Alitengeneza mashine ya kwanza ya kuchapa vitabu, alibuni [[aloi]] ya kufaa lwa herufi kwaalizotumia katika mashine yakehii pamoja na wino. Alitengeneza pia kifaa kilichomwezesha kusubu herufi za metali haraka.
 
== Vitabu kabla ya Gutenberg ==
Kabla ya Gutenberg [[kitabu|vitabu]] vingi viliandikwa kwa mkono. Kunakili kitabu kimoja kama [[Biblia]] kwa mkono kulichukua angalau mwaka mmoja.
 
Teknolojia ya kuchapisha vitabu ilipatikana tayari lakini haikuridhika. Kwa kawaida ukurasa wote ulichorwa halafu kukatwa katika ubao. Ubao ulipakwa wino na karatasi zilisukumwa kwakwenye ubao huu. Udhaifu ilikuwa kwanza kazi kubwa ya kutengeneza bao halafo bao hizi hazikudumu sana.
 
== Biblia ya Gutenberg ==
Mstari 13:
 
== Teknolojia mpya ==
Mbinu ya Gutenberg ilikuwa hasa kutumia herufi metalia za kusogezeka.
Mbinu ya Gutenberg ilikuwa kutumia metali badala ya ubao na kuunganisha mwandiko wa ukurasa kwa herufi zilizoandaliwa moja-moja halafu kuunganishwa kwa mstari na ukurasa. Alitangulia kutengeneza herufi kwa kumwaga aloi ya [[plumbi]] (metali ya risasi), [[stani]] na [[antimoni]] katika kalibu ilipopoa. Kwa njia aliweza kusubu herufi nyingi zilizokuwa sawa kabisa tofauti na herufi zilizokatwa kwa mkono katika ubao. Baada kupanga herufi na kuzibana aliweza kuchapisha ukurasa mara nyingi jinsi ilivyohitajika. Aliweza pia kufungua mbano wa ukurasa na kutumia herufi kwa kazi nyingine au kutunza ukurasa kwa marudio yaliyotarajiwa.
 
Metali inadumu kuliko ubao ikamwezesha Gutenberg kuandaa ukurasa na kuichapisha mara maelfu. Aliweka maandishi kwa kuandaa herufi metalia nyingi alizounganisha kuwa maneno, mistari hadi ukurasa wote. Ukurasa ulibanwa pamoja ukawa tayari kwa uchapishaji. Kama makosa yalionekana au mabadiliko yalihitajika aliweza kufungua ukurasa, kuongeza au kutoa herufi na kubana ukurasa upya.
 
Mbinu ya Gutenberg ilikuwa kutumia metali badala ya ubao na kuunganisha mwandiko wa ukurasa kwa herufi zilizoandaliwa moja-moja halafu kuunganishwa kwa mstari na ukurasa. Alitangulia kutengenezaAlitengeneza herufi kwa kumwaga aloi ya [[plumbi]] (metali ya risasi), [[stani]] na [[antimoni]] katika kalibu ilipopoa. Kwa njia hii aliweza kusubu herufi nyingi zilizokuwa sawa kabisa tofauti na herufi zilizokatwa kwa mkono katika ubao. Baada kupanga herufi na kuzibana aliweza kuchapisha ukurasa mara nyingi jinsi ilivyohitajika. Aliweza pia kufungua mbano wa ukurasa na kutumia herufi kwa kazi nyingine au kutunza ukurasa kwa marudio yaliyotarajiwa.
 
Pamoja na hayo alibuni mgandamizo iliyokuwa mashine bora ya kuchapa vitabu.