Tofauti kati ya marekesbisho "Tobias Asser"

102 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
+jamii n.k.
d (robot Adding: sv:Tobias Asser)
(+jamii n.k.)
'''Tobias Michael Carel Asser''' ([[28 Aprili]], [[1838]] – [[29 Julai]], [[1913]]) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya [[Uholanzi]]. Alikuwa profesa wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha [[Amsterdam]]. Mwaka wa 1899 na tena 1907 alikuwa mwakilishi wa Uholanzi kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa [[The Hague]]. Mwaka wa [[1911]], pamoja na [[Alfred Fried]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
 
{{DEFAULTSORT:Asser, Tobias}}
[[Category:Wanasheria]]
[[Category:Waliozaliwa 1838]]
[[Category:Waliofariki 1913]]
[[Category:Wanasheria wa Uholanzi]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
 
62,394

edits