Longitudo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mhr:Кутык
d roboti Nyongeza: jv:Garis bujur; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:WorldMapLongLat-eq-circles-tropics-non.png|thumbthumbnail|300px|Ramani ya dunia inayoonyesha mistari ya longitudo na latitudo]]
 
'''Longitudo''' ''([[kilatini]]: longitudo)'' ni njia ya kuonyesha mahali duniani kwa kutaja umbali wake kutoka mstari wa [[meridiani ya sifuri]] kwa kipimo cha digrii ('''°'''). Kwenye msingi wa digrii 360 za duara digrii hizi za latitudo huehesabiwa hadi +180° (kwenda mashariki) au hadi -180° (kwenda magharibi). Ni kawaida vilevile kutaja tofauti kati ya longitudo za mashariki au magharibi kwa kuongeza herufi za "E" (east) na "W" (west) badala ya +/-. Pamoja na kipimo cha [[latitudo]] inataja kamili kila mahali duniani.
 
Meridiani ya 0° imekubaliwa ni mstari kutoka [[ncha ya kaskazini]] hadi [[ncha ya kusini]] unaopita katika mji wa [[Greenwich]] (karibu na [[London]] / [[Uingereza]]).
Mstari 9:
Mji wa Kiafrika karibu kwenye longitudo ya sifuri ni [[Accra]] ([[Ghana]]). Vipimo vyake ni : 5°30' N (latitudo) na 0°10' W (longitudo).
 
[[CategoryJamii:Jiografia]]
 
[[CategoryJamii:Vipimo]]
 
[[Category:Jiografia]]
[[Category:Vipimo]]
 
[[an:Lonchitut]]
Line 47 ⟶ 45:
[[it:Longitudine]]
[[ja:経度]]
[[jv:Garis bujur]]
[[ko:경도]]
[[ku:Hêlîlar]]