Papai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Papai''' ==Utangulizi== Papai ni tunda la mmea unaofahamika kama "carica papaya" wa jenasi corica, unaasili ya amerika ya kaskazini na unakuwa huko maksiko, karne kadhaa ka...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Koeh-029.jpg|thumb|Papai]]
'''Papai'''
 
'''Papai''' ni [[tunda]] la [[mmea]] unaofahamika kama "carica papaya" wa jenasi corica, unaasili ya amerika ya kaskazini na unakuwa huko maksiko, karne kadhaa kabala ya kuibuka kwa tamaduni mpya za huko amerika,
 
==Utangulizi==
Papai ni tunda la mmea unaofahamika kama "carica papaya" wa jenasi corica, unaasili ya amerika ya kaskazini na unakuwa huko maksiko, karne kadhaa kabala ya kuibuka kwa tamaduni mpya za huko amerika,
Ni mti mkubwa wenye shina la urefu wa mita 5 mpaka 10, yenye majani yaliojipanga yaliojizungusha na kujishikiza juu kwenye shina la miti, shina kwa upande wa chini huwa na makovu mengi kuonesha sehemu ambayo majani yalikuwa majani ya mpapai ni makubwa sm 50 – 70 kwa upana, maua yake ni madogo na hutokea sehemu yalipochomoza majani, hutengeneza tunda papai lenye urefu wa sm 15- 45, na upana wa sm10 – 30. Tunda huiva pale linapokuwa laini ( kama vile parachichi au zaidi) na ngozi yake inapokuwa na ngozi yake inapo karibia rangi ya chungwa ladha ya chungwa hukamilana na ile kati ya nanasi na peasi, ingawa huwa ya utulivu bila ya uchungu wowote.
 
 
==Wingi na matumizi ya papai==
Kutoka asili yake ya [[Meksiko]], Puerto rico amerika ya kati na kusini mwa asia .
 
Papai lililoiva huliwa bila ya maganda wala mbegu zake papai bichi huliwa baada ya kuchemshwa na kupimwa pamoja na saladi ya michemsho mingine.
Line 15 ⟶ 12:
 
Wanawake huko india, Pakistani, sililanka walitumia sana papai kama njia ya kuzuia mimba na hata kutoa mimba wanawake waliokuwa utumwaniai pia walionekana sana wakitumia sana papai ili kuzuia wasishike mimba na kuwazaa watoto wao utumwani imegundulika hatambegu za papai nazo huweza kusababisha kuondoa uwezo wa kuzaa kwa wanaume.
 
 
Shina na matawi ya mipapai pia yanatumika kutengenezea kamba. mbegu zaidi za mipapai huweza kuliwa na zina radha kali sana. Hu8sagwa na wakati mwingine na kutumiwa kama mbadala wa pilipili. Sehemu Fulani za asia, majani machanga ya mmea wa mpapai huchemshwa kwa mvuke na kuliwa kama spinachi. Sehemu Fulani duniani majani ya mpapai hunyweshwa na chai kama dawaya kutibu malaria, japo hakuna ushahidi wa kutosha juu ya matibabu haya.
 
 
==Hatari ya matumizi ya papai na mazao yake==
Tunda la papai, mbegu na utomvu wake, pia majani yake yana kiwango kikubwa cha carpaine’ kemikali inayoondoa minyoo kwenye mwili lakini matumizi ya kiasi kikubwa huweza kuwa hatari. Inafahamika kuwa mapapai mabichi yanaweza kusababisha kutoka kwa mimba kutokana na kiwango kikubwa cha kemikali ya Latex ambayo husababisha kuta za uterasi kusinyaa japo haijathibitishwa bado.
Kula sana mapapai kama ilivyo kwa karoti, huweza kusababisha ugonjwa wa karotinemia ambapo nyayo na viganja huwa vya rangi ya njano japo hakuna madhara yoyote.
 
[[Jamii:Mbegu za mimea]]
 
[[en:Papaya]]