Mplamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Plamu''' ==Utangulizi== Plamu ni mmea wa jinasi ya "Prunus", na jinasi ndogo ya Prunus. Jinasi ndogo hii huutofautisha mplamu na jinasi nyingine ndogo ( pichi, cheri n.k. ) k...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Plum on tree02.jpg|thumb|Plamu]]
'''Plamu'''
'''Plamu''' ni [[mmea]] wa jinasi ya "Prunus", na jinasi ndogo ya Prunus. Jinasi ndogo hii huutofautisha mplamu na jinasi nyingine ndogo ( pichi, cheri n.k. ) kwenye matawi kwa kuwa na chipukizi la mwisho na machipukizi mengine yametengana ( hayapo kama kundi ), maua yamekaa pamoja moja mapaka matano, na tunda likiwa na mfereji mmoja kuanzia juu mpaka chini, na jiwe dogo.
 
==Utangulizi==
Plamu ni mmea wa jinasi ya "Prunus", na jinasi ndogo ya Prunus. Jinasi ndogo hii huutofautisha mplamu na jinasi nyingine ndogo ( pichi, cheri n.k. ) kwenye matawi kwa kuwa na chipukizi la mwisho na machipukizi mengine yametengana ( hayapo kama kundi ), maua yamekaa pamoja moja mapaka matano, na tunda likiwa na mfereji mmoja kuanzia juu mpaka chini, na jiwe dogo.
Matunda ya plamu yaliyokomaa huwa na utando mweupe ambao huyapa muonekano wa bafaru hivi lakini hutoka kwa urahisi. Hii huwa ni nta, kitaalamu epicuticular wax, na utando huo hujulikana kama “nta ya kuchanua”
 
 
==Spishi==
Line 13 ⟶ 10:
Maua ndani ya chipukizi yanajikunja kwa ndani; maua 3 – 5 yanakaa pamoja; matunda ni laini; daima huwa na hupata nta ya ukomavu.
Maua ndani ya chipukizi yanajikunja kwa ndani; maua huwa na vikonyo vifupi; matunda laini kama mahameli. Huchukuliwa kamajinasi ndigo inayojitegemea na baadhi ya waandishi.
 
 
==Kilimo na matumizi==
Line 23 ⟶ 19:
Plamu huwa katika rangi na ukubwa tofauti. Baadhi huwa na nyama ya ndani ngumu kiasi na mengine huwa na nyama laini na yenye rangi ya njano, nyeupe kijani au nyekundu, na ngozi yenye kubadilika vilevile kulingana na rangi ya nyama ya ndani.
[[Jamii:Mbegu za mimea]]
==Marejeo==
 
[[en:Plum]]