Kipanya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 21:
[[Picha:Mouse_vermin02.jpg|thumb|Panya wa mwituni (field mouse)]]
'''Panya
Japo wakifugwa panya pori hawa huweza kuishi kwa miaka miwili na nusu, kwa kawaida panya-pori huishi kwa wastani wa miezi minne huko porini, kumpakakana na kuwinda mara kwa mara. Jamii za paka, mbwamwitu, ndege, nyoka na hata jamii fulani za arthropods huwawinda sana panyapori. Hata hivyo humpakakana uwezo wao mkubwa wa kuishi mazingira mbalimbali, panyapori huonwa kuwa ndio jamii ya pili kuishi duniani yenye uwezo mkubwa wa kudumu mazingira baada ya binadamu.
|