Kangaruu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '"'Kangaruu'" Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru http://en.wikipedia.org/wiki/File:Kangaroo_and_joey03.jpg Kangaruu jike, Eastern Grey Kangaroo akiwa na ndama wake kwenye ...'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{Uainishaji
"'Kangaruu'"
| rangi = #D3D3A4
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru
| jina = Kangaruu
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:| picha = Kangaroo_and_joey03.jpg]]
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Kangaruu jike, Eastern Grey Kangaroo akiwa na ndama wake kwenye pochi
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila =
| ngeli =
| oda =
| nusuoda =
| familia =
| nusufamilia =
| jenasi =
| spishi =
| nususpishi =
| bingwa_wa_nususpishi =
}}
 
[[Picha:RedRoo.JPG|thumb|Kangaruu dume, Red Kangaroo huko Taronga Western Plains Zoo]]
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:RedRoo.JPG]]
Kangaruu dume, Red Kangaroo huko Taronga Western Plains Zoo
 
'''Kangaruu''' ni mnyama alie kwenye familia ya Macropodidae. Kwa matumizi ya kawaida msamiati huu hutumika kuelezea spishi hii kutoka kwenye familia kubwa hasa wale wa jenasi ya Macropus, kangaruu mwekundu, kangaruu wa kijivu wa magharibi na kangaruu wa kijivu wa mashariki[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-MSW3-0]. Kangaruu ni wazawa wa bara la Australia. Jamii nyingine kangaruu wengine wanapatikana pia Australia na New Guinea.
 
Kangaruu wakubwa wameweza kuishi katika mazingira magumu ya Australia, lakini wale wadogo wengi wapo hatarini. Hawawidwi kwa lolote lakini kangaroo wa mwituni wanawindwa kwa ajili ya nyama, michezo na kulinda malisho ya kondoo na ngombe [http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-1] japo kwa vipingamizi. Uwindaji wa kangaroo una faida kubwa kimazingira na kiafya kwa ngombe na kondoo wanaochungwa kwa ajili ya nyama.[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-2]
 
Kangaroo ni alama ya taifa ya Australia picha yake inatumika katika ngao ya taifa [http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-3], kwenye pesa zake[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-4] na baadhi ya mashirika makubwa ya Australia.[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-5] Kangaroo ni muhimu sana kwa utamaduni na sura ya taifa ya Australia.
 
 
 
==Maelezo==
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Kangaroo-in-flight.jpg]]
Kangaruu wa msitu wa Tasmanian, (Eastern Grey) akikimbia.
Line 35 ⟶ 45:
 
==Tabia==
 
Kangaroo ndio wanyama pekee wakubwa wanao jongea kwa kuruka. Mwendo kasi wake wa kuruka kwa kawaida ni km 20 - 25 kwa saa na anaweza kukimbia mpaka kwa kilometa 70 kwa saa kwa umbali mfupi, japo anaweza kukimbia kwa kilometa 40 kwa saa kwa hata kilometa mbili.[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-secret-15] Mwendo huu umezoeleka kwake kwa sababu yeye si tu kukimbia maalum, lakini mara nyingi hukimbia kutafuta chakula na maji.
Kwa sababu ya wayo zake kubwa hawawezi kutembea vizuri na kwa kasi ndogo. Anatumia mkia wake na miguu ya mbele,kuweka kiegemeo cha miguu mitatu na kasha husogeza miguu yake miwili mikubwa. [http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-secret-15]
Kangaruu huishi kwa miaka mine au sita (4-6). [http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-16]
 
 
==Chakula==
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Eastern_grey_kangaroo_dec07_02.jpg]]
Kangaruu wa Eastern Grey akila nyasi.
Line 49 ⟶ 56:
Kangaruu hula nyasi na majani ya vichaka, spishi ndogo za kangaruu hula fungi. Spishi nyingi huchanganyika usiku[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-archive-17] na hutumia muda mwingi wa mchana kupumzika kivulini, na kutembea kutafuta chakula jioni tulivu, usiku na asubuhi
Kwa sababu ya ulaji wake meno ya kangaroo yamejifanyia meno mengine maalum. Meno yake chonge yanauwezo wa kung’ata nyasi chini kabisa karibu na ardhi na magego yake kwa ajili ya nyasi.mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kama ya chakula usio toa gesi ya methane. Licha ya kuwa na utaratibu wa mfumo wa mmengenyo wa chakula kama wa wanyama wengine wala nyasi, mfano ngombe ambao hutoa kiasi kikubwa cha methane; wakati wa kutoa hewa kangaruu hawatoi nje gesi ya methane. Hewa ya hidrojeni badalaa ya kuwa methane, hubadilishwa na huwa kemikali ya aseteti, ambayo hutumika kutengeneza nishati zaidi. Wanasayansi ya mimea wanashauku kubwa ya kubainisha bakteria wanaofanya kazi hiyo toka kwa kangaroo mpaka kwa ngombe sababu gesi ya methane hutoka kwa kwa ngombe. Ng’ombe huchangaia uchafuzi wa hali ya hewa mara 23 zaidi kuliko hewa ya ukaa.
 
 
==Kuyamudu mazingira==
 
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Joey_in_pouch.jpg]]
Ndama wa kangaruu akinyonya ndani ya mfuko
Line 63 ⟶ 68:
 
Kuna mahusiano wakati wa kuruka na kupumua kwa kangaroo wakati mguu unatoka ardhini hewa inatoka mapafuni kurusha mguu mbele tayari kwa kutua hujaza tena mapafu kwa hewa kuweka matumizi mazuri ya nishati, uchunguzi umeonesha kuwa zaidi ya nishati inayotumika kuvukia kangaroo huhitaji nishati ndogo sana kama anataka kuvuka sana tofauti na wanyama wengine wanapoongeza kasi ya miendo yao mf. farasi na binadamu
 
 
==Uzazi na mzunguko wa uzazi==
Yai la kangaroo jike huwa ndani ya ovari na hushuka mpaka kwenye uterasi tayari kwa ajili ya kurutubishwa.kijusi hukua kwa haraka sana na kutoka nnje baada ya siku 33, kwa kawaida huwa anazaliwa motto mmoja tu. Mtoto huyo huwa haoni hana nyele na urefu wa sentimeta chache sana miguu yake ya nyuma huwa inakuwa haijakuwa hivyo hutumia tu miguu ya mbele kujisogeza kwenye mfuko wa mama yake, na huchukua dakika tatu mpaka tano.akifika ndani ya pochi huanza kunyonya. Baada ya siku 150, mtoto anaweza kutokeza nje kwa mara ya kwanza. Baada ya kuchunguila chungulia nje kwa siku kadhaa na kuona kuwa ni salama. Baada ya hapo hutumia muda wake mwingi kuchungulia nje duniani na baada ya siku 235, hutoka nnje ya pochi kwa mara ya mwisho. [http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-26]
 
==Nyama==
Nyama ya kangaroo hupikwa kwa namna mbalimbali. Nyama hii tena ni chakula kwa watu wa Aboriginal.’
 
==Marejeo==
1. ^ Groves, C. (2005). Wilson, D. E., & Reeder, D. M.. ed. Mammal Species of the World (3rd ed.). Johns Hopkins University Press. pp. 64 & 66. ISBN 0-801-88221-4. http://www.bucknell.edu/msw3.
2. ^ "Kangaroo Industry Background Kangaroo Industries Association of Australia. July 2008". Kangaroo-industry.asn.au. 1997-07-31. http://www.kangaroo-industry.asn.au/morinfo/BACKGR1.HTM. Retrieved 2009-04-05.
3. ^ Steve Dow: "An industry that's under the gun". Sydney Morning Herald online, September 26, 2007.
4. ^ Australia's coat of arms. Retrieved January 6, 2007.
5. ^ The Australian currency. Retrieved January 6, 2007.
6. ^ The Kangaroo symbol. Retrieved January 6, 2007.
7. ^ Etymology of mammal names. Retrieved January 7, 2007.
8. ^ "Kangaroo - Captain Cook's Journal". Project Gutenberg. http://www.gutenberg.org/files/8106/8106-h/8106-h.htm#ch8. Retrieved 2006-12-31.
9. ^ http://www.word-detective.com/110999.html#kangaroo"
10. ^ Haviland, John B. (1974). "A last look at Cook's Guugu-Yimidhirr wordlist". Oceania 44 (3): 216–232. http://www.anthro.ucsd.edu/~jhaviland/Publications/HavilandOceania.pdf. Retrieved 2008-04-13.
11. ^ Animal Bytes: Kangaroo and Wallaby. Retrieved January 7, 2007.
12. ^ "Roo". Compact Oxford English Dictionary. Ask Oxford.com. http://www.askoxford.com/concise_oed/roo?view=uk. Retrieved 2006-12-31.
13. ^ "Red Kangaroos". http://www.red-kangaroos.com/. Retrieved 2007-01-07.
14. ^ Captain John Gore by Johanna Parker, curator at the National Museum of Australia (June 2006)
15. ^ The La Trobe Journal, Vol. 66, pages 4 and 5, Spring 2000
16. ^ a b c Penny, Malcolm (2002). The Secret Life of Kangaroos. Austin, Texas: Raintree Steck-Vaughn Puiblishers. ISBN 0-7398-4986-7.
17. ^ "Gestation, Incubation, and Longevity of Selected Animals". infoplease.com. http://www.infoplease.com/ipa/A0004723.html. Retrieved 2006-12-31.
18. ^ Archives. Retrieved January 7, 2007.
19. ^ Columbus Zoo article. Retrieved January 7, 2007.
20. ^ Radio Australia - Innovations: "Methane In Agriculture." 15 August 2004. Retrieved 28 August 2007.
21. ^ Canadian Museum of Nature - Kangaroo. Retrieved January 6, 2007.
22. ^ Burnie, David; Don E. Wilson (2001). Animal. New York, New York: DK Publishing, Inc.. pp. 99–101. ISBN 0-7894-7764-5.
23. ^ Kangaroo hops in line for genome sequencing. Retrieved January 6, 2007.
24. ^ Hooper, P (August 1999). "Kangaroo blindness and some other new viral diseases in Australia". Australian Veterinary Journal 77 (8): 514. doi:10.1111/j.1751-0813.1999.tb12122.x. http://www.ava.com.au/avj/9908/99080514.pdf. Retrieved 2006-12-31.
25. ^ "Viruses on the hop". Ecos (CSIRO Publishing) (87). Autumn 1996. http://www.publish.csiro.au/?act=view_file&file_id=EC87p36.pdf. Retrieved 2006-12-31.
26. ^ "Unknown". National Wildlife Federation. http://www.nwf.org/internationalwildlife/kangaroo.html.
27. ^ Evolution of Biodiversity, BCB705 Biodiversity, University of the Western Cape
28. ^ "Blind kangaroo jumps in to rescue farmer". The Scotsman. 2003-09-22. http://news.scotsman.com/international.cfm?id=1053612003. Retrieved 2006-12-31.
29. ^ Morse, Sherry (2003-04-10). "Half-Blind Kangaroo Saves Life Of Unconscious Man". Buzzle.com. http://www.buzzle.com/editorials/10-4-2003-46148.asp. Retrieved 2006-12-31.
30. ^ "Lulu the Kangaroo" receives the RSPCA "National Animal Valor Award". luluthekangaroo.com.au. http://www.luluthekangaroo.com.au/. Retrieved 2006-12-31.
31. ^ Australia (2007-09-03). "Commercial harvesting of Kangaroos in Australia Department of Zoology, The University of Queensland for Environment Australia, August 1999 Side effects of harvesting". Environment.gov.au. http://www.environment.gov.au/biodiversity/trade-use/wild-harvest/kangaroo/harvesting/roobg-02.html. Retrieved 2009-04-05.
 
 
=Viungo vya nje==
:The Kangaroo Genome Project at Australian National University
:Courtship and Mating
:Prehistoric mammals
 
 
[[Jamii:Mamalia]]
 
[[en:Kangaroo]]
Imerekebishwa kutoka "http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo"