Alizeti : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created page with ''''Alizeti''' Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru http://en.wikipedia.org/wiki/File:Sunflower_sky_backdrop.jpg classificationKingdom:Plantae(unranked):Angiosperms(unranked...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Sunflower_sky_backdrop.jpg|thumb|Alizeti]]
'''Alizeti''' (Helianthus annuus) ni [[mimea]] unaokua kwa mwaka mmoja yenye asili ya Amerika yenye kichwa cha maua.▼
▲Alizeti (Helianthus annuus) ni mimea unaokua kwa mwaka mmoja yenye asili ya Amerika yenye kichwa cha maua.
==Maelezo==
Line 16 ⟶ 7:
Maua ndani ya mduara ndio hukua na kuzalisha alizeti, na ndio hasa huwa tunda la mmea; gamba la sumu ndio ukuta wa tunda na mbegu yenyewe kwa ndani yake.
Maua ndani ya mduara yamejipanga kwa mzunguko hasa kila madogo (alizeti) imekaa na nyingine kwa pembe ya dhahabu 137.5° na kuzalisha miduara inayopishana. Kwa kawaida kuna mistari 34 ya miduara kutoka upande mmoja na mingine 55 kutoka upande mwingine. Kwenye mualizeti mkubwa. Mistari yaweza hasa kuwa 89 kwa 144. [http://en.wikipedia.org/wiki/Sunflower#cite_note-0][http://en.wikipedia.org/wiki/Sunflower#cite_note-1][http://en.wikipedia.org/wiki/Sunflower#cite_note-2] Mpango huu unapelekea kujaa vizuri na kwa wingi kwa mbegu za mmea. [http://en.wikipedia.org/wiki/Sunflower#cite_note-3][http://en.wikipedia.org/wiki/Sunflower#cite_note-4][http://en.wikipedia.org/wiki/Sunflower#cite_note-5]
==Kufuata jua==
Line 37 ⟶ 27:
Alizeti pia huumika kufyonza kemikali hatari kutoka ardhini kama vile uraniamu na walitumika katika kuondoa madini ya uraniamu ardhini wakati wa janga lililotokea huko Chernobyl.
==Ukubwa==
Mimea ya alizeti hukua kufuata kimo cha mita 1.5, mpaka 3.5. Wana sayansi wameripoti kuwa mwaka 1567, kuna mualizeti ulikuwa kufikia kimo cha mita 12 huko Padua. Mbegu zake zilipo pandwa maeneo mengine zilitoa mimea yenye urefu wa mmita 8, kwenye maeneo kama vile madvid, hivi karibuni maeneo mengine kama vile Uholanzi na Ontario, Canada nao wamefanikiwa kukuza mimea hiyo yenye urefu wa mita 8.
==Alama za utamaduni==
Line 50 ⟶ 38:
[[en:Sunflower]]
|