Alizeti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
Mmea huganda kuelekea ( mara nyingi) upande wa mashariki. Majani na shina hupoteza rangi yake ya kijani.
Mimea ya pori jamii ya alizeti huwa haizunguki kufuata jua, japo majani yake hufuata jua maana yao huelekea upande wowote pindi yanapokomaa.
 
 
==Historia==
Line 20 ⟶ 19:
Francisco Pizarro alikuwa mtu wa kwanza kutoka Ulaya kuuona mmea wa alizeti huko Peru. Taswira ya dhahabu ya mmea na mbegu zake zilichukuliwa na kupelekwa Hispania mnamo karne ya 16. Baadhi ya watafiti wanasema kuwa Hispania iliwekewa vikwazo vingi kilimo cha alizeti kutokana na imani ya dini imayoambatana na mmea huo. [http://en.wikipedia.org/wiki/Sunflower#cite_note-7]
Kufikia karne ya 18, matumizi ya mafuta ya alizeti yalikuwa maarufu mno, hasa kwa waumini wa kanisa la Russia la Orthodox kwa sababu mafuta ya alizeti yalikuwa miongoni mwa vitu vichache vilivyo kuwa vinaruhusiwa kutumika wakati wa kwaresma.
 
 
==Kilimo na matumizi==
Line 37 ⟶ 35:
:Ua la mmea wa alizeti ndio ua la nchi yaUkraine.
 
[[Jamii:Mimea]]
 
[[en:Sunflower]]