Nguruwe-kaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+en:
dNo edit summary
Mstari 18:
| bingwa_wa_nususpishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
}}
'''Nguruwe-kaya''' ni kundi la [[mnyama|wanyama]] wanaofugwa kote duniani. Kibiolojia ni [[nususpishi]] ya ''[[Sus scrofa]]''. Jumla ya nguruwe duniani hukadiriwa kuwa bilioni mbili.
 
Nguruwe hufikia uzito wa [[kilogramu]] 40 - 350. Kichwa kinaishia katika mdomo mrefu unaofanana kidogo na [[mwiro]] wa tembo ingawa ni mfupi.