B : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ace:B
d roboti Nyongeza: eml:B; cosmetic changes
Mstari 1:
{{A-Z}}[[imagePicha:Fonts-B.jpg|thumbthumbnail|300px|Herufi '''B''' kwa mwandishi mbalimbali]]
'''B''' ni herufi ya pili katika [[alfabeti ya Kilatini]] ambayo ni pia mwandiko wa [[Kiswahili]] cha kisasa. Asili yake ni [[Beta]] ya [[alfabeti ya Kigiriki|Kigiriki]].
 
== Maana za alama B ==
* Katika [[musiki]] B ni [[noti]].
* Katika [[tiba]] B ni mojawapo ya aina za [[damu]]
* Katika [[Kemia]] B ni alama ya [[elementi]] ya [[Boroni]]
* Kwenye gari B ni alama ya kimataifa ya gari kutoka [[Ubelgiji]]
 
== Historia ya herufi B ==
Mstari 12:
|-
! Kisemiti asilia<br />picha ya ramani ya nyumba
! Bet ya Kifinisia<br />
! Beta ya [[Kigiriki]]
! B ya Kilatini
|- style="background-color:white; text-align:center;"
|[[ImagePicha:Proto-semiticB-01.png|Proto-semitic house]]
|[[ImagePicha:PhoenicianB-01.png|Phoenician beth]]
|[[ImagePicha:Beta uc lc.svg|64px|Greek beta]]
|[[ImagePicha:RomanB-01.png|Roman B]]
|}
 
Mstari 27:
Faida ya alfabeti ni ya kwamba inahitaji alama chache kulingana na mwandiko wa silabi mwenye alama kwa kila silabi ya lugha fulani au mwandiko picha unaohitaji maelfu ya alama za picha.
 
=== Bet ya Wafinisia ===
[[Wafinisia]] walichukua alama ya ramani ya nyumba wakairahisisha na kuiita kwa neno lao "bet" lenye maana ya "nyumba" lakini walisoma tu "b" yaani sauti ya kwanza katika neno hili. Hivyo walifanya picha ya nyumba kuwa herufi iliyo alama ya sauti "b". Herufi ilitazama upande wa kushoto pa kwa sababu mwendo wa kuandika ulikuwa kuanza upande wa kulia klwenmda kushoto jinsi ilivyo katika lugha za Kisemiti za Kiebrania na Kiarabu.
 
Kufuatana na kalamu tofauti (kama ni kuandika kwa kijiti kwenye udongo wa ufinyanzi au kwa wino kwenye karatasi) umbo la herufi likaandikwa kwa michirizo au zaidi kwa kona.
 
=== Beta ya Wagiriki ===
Wagiriki walipokea alfabeti kutoka Wafinisia na pia jina la herufi hii. Wakabadilisha kidogo jina kuwa "beta" badala ya "bet". Lakini katika lugha yao hawakuelewa tena maana asilia iliyokuwa "nyumba". Kwao ilikuwa alama ya sauti tu.
 
Mwanzoni waliandika herufi kwa kutazama upande wa kushoto kama walivyofanya Wafinisia lakini katika karne za baadaye herufi iligeuzwa na kuandikwa mwishowe jinsi tunavyozoea leo.
 
=== B ya Kilatini cha Waroma wa Kale ===
[[Waroma wa Kale]] walipokea alfabeti kutoka Wagiriki na kuibadilisha kwa mahitaji yao. Beta ikaitwa nao kwa sauti yake tu yaani "b" badala ya neno "beta".
 
[[CategoryJamii:alfabetiAlfabeti]]
 
[[ace:B]]
Mstari 64:
[[dv:B]]
[[el:B]]
[[eml:B]]
[[en:B]]
[[eo:B]]