Graca Machel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fr:Graça Machel
Graça with cedilla
Mstari 1:
[[Image:Machel_Nkomati.jpg|right|thumb|300px|Graça Machel mwaka 1984 pamoja na wahusika wa mapatano ya Nkomati yaani mapatano ya amani kati ya Afrika Kusini na Msumbiji ambao ni Rais Samora Machel wa Msumbiji, Rais P W Botha na Waziri Pik Botha wa Afrika Kusini]]
 
'''GracaGraça Simbine Machel''' alikuwa mke wa marehemu Rais wa [[Msumbiji]] [[Samora Machel]] na tangu 1998 mke wa [[Nelson Mandela]].
 
Alizaliwa tarehe [[17 Oktoba]], [[1946]] nchini [[Msumbiji]]. Akiwa ni mtoto wa mwisho kati ya watoto sita wa mzee Simbine na bibi Nelly. Baba yake alifariki majuma matatu baada ya GracaGraça kuzaliwa.
 
GracaGraça alianza kujihusisha na siasa baada ya kwenda masomoni [[Lisbon]], [[Ureno]]. Akiwa Lisbon alikutana na watu wengi wenye fikra za kimapinduzi waliokuwa wakijihusisha na harakati za ukombozi wa Msumbiji kupitia chama cha [[FRELIMO]]. Serikali ya Msumbiji ilipopata taarifa za kujiunga kwakw kwa siri na FRELIMO ilijiandaa kumtia jela mara tu atakaporudi nchini Msumbiji. GracaGraça alipopata habari hizo alikimbilia nchini [[Uswisi]]. Mwaka 1973 akiwa bado [[Ulaya]] aliamua kujihusisha wazi wazi na harakati za ukombozi za FRELIMO. Chama cha FRELIMO kilikuwa na shule za sekondari katika nchi mbalimbali za Afrika zilizokuwa zikitoa elimu kwa wananchama wa chama hicho. Mwaka 1974 chama hicho kilimpeleka nchini [[Tanzania]] kuwa mwalimu wa shule ya sekondari ya FRELIMO iliyoko [[Bagamoyo]].
 
Akiwa Tanzania alijifunza mafunzo ya kijeshi ya kujilinda na ni katika kipindi hiki ndipo alipoweza kukutana na [[Samora Machel]]ambaye alikuja kuwa mume wake na pia rais wa Msumbiji. Walifunga ndoa mwaka 1975 baada ya Msumbiji kupata uhuru wake toka kwa Wareno. Waliishi kama mume na mke hadi pale Samora Machel alipofariki kutokana na ajali ya ndege inayosadikiwa kuwa ilitunguliwa na [[makaburu]] wa [[Afika Kusini]] mwaka 1989. Kwa miaka mitano mfululizo tangu Samora Macheli afariki, GracaGraça alivaa nguo nyeusi peke yake. Na ilipofika mwaka 1989 alistaafu wadhifa wake wa uwaziri na kujishughulisha na shughuli za maendeleo ya jamii hasa hasa watoto.
 
Mwaka 1998 GracaGraça alifunga pingu za maisha kwa mara ya pili na rais wa kwanza wa Afrika Kusini huru, [[Nelson Mandela]].
 
[[Category:Watu wa Msumbiji]]