Ray Steadman-Allen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d jamii -> Watu Walio Hai
Mstari 2:
== Historia ==
 
Ray Steadman-Allen alizaliwa Septemba [[18 Septemba]], [[1922]] katika hospitali ya 'akina Mama' ya Jeshi la Wokovu, mjini Clapton,wakati wazazi wake waliokuwa afisa wa Jeshi la Wokovu alikuwa wakiishi katika eneo la [[Horfield]],[[Bristol]]. Walipopata kazi jijini [[London]] katika mwaka wa 1937,Ray aliajiriwa kazi katika Makao Makuu ya Kimataifa ya Jeshi la Wokovu kama mtumishi wa ofisi wa Generali Evangeline Booth, binti wa mwanzilishi wa Jeshi la Wokovu.
 
Katika mwaka wa 1942,aliandikishwa kwenye Kikosi cha Wanamaji. Yeye alitahiniwa kwa shahada ya muziki na [[Sir Granville Bantock]] aliyemwalika ili ampe kazi katika muziki vita vitakapoisha. Hapo baadaye, Bantock alikufa, na Ray alijiunga na Idara ya Kuhariri Muziki ya Jeshi la Wokovu. Kufuatia muda mfupi,baada ya vita,alikuwa mchezaji wa ala ya muziki ya tromboni katika Bendi ya Watumishi ya Kimataifa,huko ndiko alikoendeleza ujuzi wake wa kuongoza bendi. Baadaye,alikuwa kiongozi wa Bendi ya Tottenham Citadel.
Mstari 46:
**[http://www.spiritus-temporis.com/ray-steadman-allen/ Biografia ya Ray Steadman-Allen]
**[http://www.osun.org/Ray+Steadman-Allen-pdf.html Vitabu vya Ray Steadman Allen kwenye mtandao]
{{DEFAULTSORT:Steadman-Allen, Ray}}
**[http://www.classicalarchives.com/album/095115451328.html Albamu ya Ray Steadman-Allen]
 
{{DEFAULTSORT:Steadman-Allen, Ray}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1922]]
[[Jamii:Watu kutoka Lower Clapton]]
[[Jamii:Watungaji wa Muziki ya Kikristo]]
[[Jamii:Afisa wa Uingereza wa Jeshi la Wokovu]]
[[Jamii:Watu wanaoishiWalio Hai]]