Ludwig Erhard : Tofauti kati ya masahihisho
d
roboti Badiliko: uk:Людвіг Ерхард; cosmetic changes
Picha kutoka commons! |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Badiliko: uk:Людвіг Ерхард; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[Picha:Ludwig Erhard 1965 FdG 2.jpg|
'''Ludwig Wilhelm Erhard''' (* [[4 Februari]], [[1897]] mjini [[Fürth]]; † [[5 Mei]], [[1977]] mjini [[Bonn]]) alikuwa [[siasa|mwanasiasa]] kutoka nchini [[Ujerumani]].
== Maisha ==
=== Maisha ya awali ===
Erhard alizaliwa akiwa kama mtoto wa mfanyabiashara. Baada ya kumaliza mtihani wake wa kati, akaanza kujifunza masuala uuzaji ili aje kuwa mfanyabiashara. Alijeruhiwa kama mwanajeshi wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Baada ya vita, akaanza kusomea masuala ya uchumi katika chuo cha mjini [[Nuremberg]].
=== Maisha ya baadaye ===
Baada ya hapo, akajiendeleza zaidi kusomea masuala ya uchumi katika [[Frankfurt am Main|Chuo Kikuu cha Frankfurt am Main]]. Baada ya kumaliza masomo yake, akawa anafanya kazi katika kampuni ya baba yake. Baada ya [[Mdororo Mkuu]], kampuni ya baba yake ikafirisika.
Mstari 15:
Mnamo mwaka wa 1949, alikuwa Katibu wa Uchumi akiwa chini [[Konrad Adenauer]]. Kuanzia mwaka wa [[1957]] hadi 1963, alikuwa [[Machansela wa Ujerumani|Makamo wa Chansella]]. Baada ya Adenauer kujiuzulu mnamo mwaka wa [[1963]], Erhard akawa Chansela mpya wa Ujerumani. Mnamo mwaka wa [[1966]], [[Kurt Georg Kiesinger]] akampokea Bw. Ludwig Erhard.
== Kifo chake ==
Ludwig Erhard alikuja kufariki dunia mnamo mwaka wa [[1977]] mjini [[Bonn]], [[Ujerumani]].
== Marejeo ==
* '''(de)''' Hentschel, Volker (1996) Ludwig Erhard: Ein Politikerleben. Berlin: Ullstein. ISBN 3-548-26536-7
* '''(en)''' Mierzejewski, Alfred C. (2004) Ludwig Erhard: a biography. Chapel Hill, London: University of North Carolina Press. ISBN 0-8078-2863-7
== Viungo vya nje ==
{{commons}}
Mstari 30:
{{DEFAULTSORT:Erhard, Ludwig}}
[[
[[Jamii:Waliofariki 1977]]
[[
[[
[[Jamii:Wanasiasa wa CDU]]
[[ar:لودفيغ إيرهارت]]
Line 76 ⟶ 77:
[[tg:Лудуиг Ерҳард]]
[[tr:Ludwig Erhard]]
[[uk:Людвіг
[[vi:Ludwig Erhard]]
[[zh:路德维希·艾哈德]]
|