Mawasiliano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ckb:ڕاگەیێنی; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 1:
{{Redirect|communicate}}
{{Otheruses}}
 
 
'''Mawasiliano''' ni mchakato wa kuhamisha [[taarifa]] kutoka '''chombo''' kimoja hadi kingine. Michakato ya mawasiliano ni mwingiliano unaohusisha ishara kati ya angalau wakala wawili walio na '''mkusanyiko''' wa ishara na sheria za '''elimu ishara''' . Mawasiliano kwa kawaida hufafanuliwa kama '''"kupasha''' au kubadilishana kwa mawazo, maoni, au habari kwa kunena, maandishi, au ishara". Ingawa kuna kitu kama mawasiliano ya njia moja, mawasiliano yanaweza kueleweka vyema kama [[mchakato]] kati ya wahusika wawili ambapo kuna mabadilishano na kukuza kwa [[fikra]], [[hisia]] au [[mawazo]] (nishati) kufikia lengo lililokubaliwa au mwelekeo uliokubaliwa (habari). <ref>{{cite book |last1=Schwartz |first1=Gary E. |last2=Simon |first2=William L. |last3=Carmona |first3=Richard |title=The Energy Healing Experiments |url=http://books.google.com/books?id=lj7CUO6uo4YC&pg=PA129&dq=Communication%20two-way%20process&f=false |page=129 |year=2008 |publisher=Simon & Schuster |isbn=0743292399 |quote=All communication is a process of exchanging energy and exchanging information.}}</ref>
 
 
 
== Muhtasari ==
Mawasiliano ni mchakato ambapo habari hupakiwa na kutumwa na kupashwa na anayetuma kwa anayepokea kupitia kwa njia maalum. Kisha anayepokea hupakua ujumbe ule na kumpatia aliyetuma (ma)jibu. Aina zote za mawasiliano huhitaji anayetuma, ujumbe, na anayepokea.
Mawasiliano huhitaji kwamba wale wanaohusika katika mawasiliano wawe na jambo linalowaunganisha kimawasiliano. Kuna [[njia zinazohusisha kusikia]], kama vile unenaji, wimbo, na toni ya sauti, na kuna [[zile zisizohusisha kusikia]], kama vile [[miondoko ya mwili, lugha ishara, kugusa, kuwasiliana kwa macho,]] na [[kuandika.]]
 
 
 
== Mabadiliko katika mawasiliano ==
{{Copyedit-section|date=October 2009}}
Kadri ambavyo wakati umepita , teknolojia imeendelea kukua na kuibua aina mpya ya na mawazo kuhusu mawasiliano. Maendeleo haya ya kiteknolojia yalibadilisha jinsi mawasiliano yanavyofanyika. Watafiti wamegawanya jinsi mawasiliano yalivyobadilika katika hatua tatu.
 
 
Mabadiliko ya mwanzo katika Mawasiliano: mawasiliano ya kwanza katika maandishi yalianza na michoro. Maandishi haya yaliandikwa kwenye mawe, ambayo yalikuwa mazito mno kuhamishwa. Wakati huo, mawasiliano katika maandishi hayangeweza kubebwa, ingawa yalikuwepo.
 
 
Mabadiliko ya pili katika Mawasiliano: Maandishi yalianza kufanyiwa kwenye karatasi, mavunjo, udongo, nta, nk Herufi za alfabeti zilibuniwa, hivyo basi kuruhusu mfanano wa lugha katika maeneo makubwa. Baada ya muda, shirika la uchapishaji la Gutenberg lilianzishwa. Gutenberg alitayarisha kitabu cha kwanza cha kuchapishwa akitumia mashine yake, na kitabu hicho kilikuwa ni Biblia. Maandiko haya yaliweza kusafirishwa kwa watu wengine duniani ili wayaone. Mawasiliano ya maandishi sasa yanaweza kuhifadhiwa na kubebwa.
Line 32 ⟶ 21:
Pia kuna vikwazo vingi vya kawaida katika mawasiliano. Viwili kati ya vikwazo hivyo vikiwa ni '''kupasha ujumbe kupita kiasi''' (mtu anapopokea ujumbe mwingi mno kwa wakati mmoja), na '''ujumbe changamano.''' <ref> Montana, Patrick J. &amp; Charnov, Bruce H. 2008. Management. 4th ed. New York. Barron's Educational Series, Inc PG 333.</ref>
Mawasiliano ni mchakato unaoendelea.
 
 
 
== Aina za mawasiliano ==
Line 42 ⟶ 29:
* 7% kwa ujumbe au maneno yaliyotumika katika [[mchakato wa mawasiliano.]]
Ingawa asilimia ya ushawishi inaweza ikabadilika kulingana na sababu tofauti kama vile mkilizaji na msemaji, mawasiliano kwa jumla hulenga kutimiza lengo moja kwa hivyo, katika baadhi ya matukio, huwa yanafanana kote duniani. Mfumo wa ishara, kama vile sauti, kiimbo au uzito wa sauti, ishara za mikono au uso au ishara [[zilizoandikwa]] ambazo huwasilisha mawazo au hisia. Ikiwa lugha inahusu kuwasiliana kwa ishara, sauti, mlio, ishara za uso au mikono, au ishara zilizoandikwa, je, mawasiliano ya wanyama yanaweza kuchukuliwa kama lugha? Wanyama hawana lugha iliyoandikwa, lakini wao hutumia lugha ya kuwasiliana miongoni mwao. Katika hali hiyo, mawasiliano ya wanyama yanaweza kuchukuliwa kama lugha kivyake.
 
 
Lugha za [[Binadamu]] zinazozungumzwa na kuandikwa zinaweza hufafanuliwa kama [[mfumo]] wa [[ishara]] (zinazojulikana wakati mwingine kama [[leksia) na sarufi (kanuni)|leksia) na [[sarufi]] [[wiktionary:rule|(kanuni)]]]]) ambayo ishara hizo huzingatia. Neno "lugha" pia hutumika kurejelea sifa bainifu za lugha. [[Kujifunza Lugha]] ni jambo la kawaida katika utoto wa binadamu. Lugha nyingi za binadamu hutumia mifumo ya [[sauti]] au [[ishara]] ambazo huwezesha mawasiliano baina ya mtu na wenzake. Kuna maelfu ya lugha za binadamu, na huwa na sifa bainifu, ingawa nyingi ya sifa hizi huwa na upekee.
Line 48 ⟶ 34:
 
[[Hakuna mgawanyo dhahiri]] kati ya lugha na [[lahaja,]] lakini mwanaisimu [[Weinreich Max]] anatambuliwa kwa kusema [[kuwa "lugha ni lahaja iliyo na jeshi la nchi kavu na la majini ".]] [[Lugha za kuundwa]] kama vile [[Kiesperanto, lugha za tarakilishi]], na maumbo mbalimbali ya hisabati haziko chini ya sifa bainifu zinazohusisha lugha za binadamu.
 
 
 
=== Mawasiliano kwa Ishara ===
Line 102 ⟶ 86:
 
'''Kutazama.''' Kipengele kikubwa cha mawasiliano ya kijamii ni kutazamana macho. Kipengele hiki kinaweza kuwasilisha hisia, ashiria wakati wa kuzungumza au kuwacha kuzungumza, au chuki. Marudio ya kutazamana yanaweza kuonyesha aidha shauku au kuchoka.
 
 
 
=== Mawasiliano ya Kutazama ===
Line 126 ⟶ 108:
* [[Mawasiliano ya kiufundi]]
* [[Mawasiliano ya kiununuzi]]
 
 
 
== Mawasiliano ya Mdomo ==
 
 
Mawasiliano kwa mdomo ni mchakato ambapo habari hupitishwa kutoka kwa msemaji hadi kwa msikilizaji kupitia kwa mdomo lakini vielelezo vinaweza kutumiwa kusaidia katika mchakato huu .. Msikilizaji anaweza kuwa mtu mmoja, kikundi au hata hadhira. Kuna aina chache za mawasiliano ya mdomo: majadiliano, hotuba, mawasilisho, nk. Hata hivyo, mara nyingi wakati unawasiliana ana kwa ana [[miondoko]] ya [[mwili]] na toni ya sauti yako huwa na athari kubwa kuliko maneno halisi unayoyasema. Kulingana na utafiti fulani: {{Citation needed|date=November 2009}}
 
:55% ya athari hulingana na miondoko ya mwili. Kwa mfano: mkao, ishara, mawasiliano kwa macho, nk.
::38% hulingana na toni ya sauti yako
:::7% hulingana na maudhui ya maneno yako katika mchakato wa mawasiliano.
 
 
Line 170 ⟶ 148:
 
 
bila==Bila mawasiliano ya watu ==
 
{{See also|Biocommunication (science)|Interspecies communication}}
Mawasiliano katika mingi ya mitazamo yake hayajajifungia tu kwa [[binadamu]], au hata kwa [[sokwe.]] Kila [[mabadilishano ya habari]] kati viumbe vilivyo hai - yaani kubalishana kwa [[ishara]] kunakohusiha mtumaji na mpokeaji walio hai - kunaweza kuchukuliwa kama njia ya mawasiliano. Kwa hivyo, kuna uwanja mpana wa [[mawasiliano ya wanyama,]] ambayo yanahusisha mengi ya masuala katika [[ethnolojia.]] Pia wanyama waasili kama mwamba tumbawe wanaweza kuwasiliana. <ref> Witzany G, Madl P. (2009). Biocommunication of corals. International Journal of Integrative Biology 5 (3): 152-163.</ref> Katika ngazi ya kimsingi zaidi, kuna [[kupatiana ishara kati ya seli, mawasiliano ya seli,]] na mawasiliano ya kemikali kati ya viumbe asili kama [[bakteria,]] <ref> Witzany G (2008). Bio-Communication of Bacteria and their Evolutionary Roots in Natural Genome Editing Competences of Viruses. Open Evolution Journal 2: 44-54.</ref> na miongoni mwa [[mimea]] na [[himaya za kuvu]]. Michakato hii yote ya mawasiliano huhusisha mitagusani inayoshirikisha ishara zilizo na ratibu bainifu mbalimbali.
 
Line 193 ⟶ 171:
 
Mawasiliano hufanyika katika ngazi tofauti (hata kwa tendo moja), katika njia mbalimbali, na kwa viumbe wengi, na vilevile kwa mashine fulani. Baadhi ya taaluma za utafiti , ikiwa siyo zote, hutenga sehemu ya mafunzo yake kwa mawasiliano, hivyo basi wakati wa kuzungumza kuhusu mawasiliano, ni muhimu sana kuwa na uhakika kuhusu nyanja ya mawasiliano inayozungumziwa. Ufafanuzi wa mawasiliano hutofautiana sana, baadhi yake ukitambua kwamba wanyama wanaweza kuwasiliana na wenzao na binadamu pia, na baadhi ni finyu zaidi, ukihusisha binadamu katika mitagusano ya kibinadamu iliyo na maana.
 
 
 
== Marejeleo ==