Biafra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ast:Biafra
d roboti Nyongeza: lv:Biafra; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Biafra map.PNG|thumb|300px|Ramani ya Biafra]]
[[ImagePicha:Flag of Biafra.svg|thumb|Bendera ya Biafra]]
 
Mstari 6:
 
== Sababu za farakano ==
=== Uasi wa kijeshi ===
Katika Januari [[1966]] ilitokea ghasia katika Nigeria. Sehemu za jeshi zilipindua serikali wakamwua waziri mkuu [[Tafawa Balewa|Abubakar Tafawa Balewa]] aliyekuwa wa asili ya kaskazini. Kiongozi wa serikali mpya alikuwa jenerali mkuu wa jeshi la Nigeria [[Johnson Aguiyi-Ironsi]] aliyekuwa Igbo ambaye mwenyewe hakushiriki katika uasi. Lakini katika miji ya kaskazini ya Nigeria raia Waigbo walitafutwa na kuuawa ovyo. Waigbo maelfu walikimbia katika miji ya kaskazini na kukimbilia kwao nyumbani walipoleta habari za mauaji.
 
Uasi wa pili ulifuata haraka tarehe [[29 Julai]] [[1966]] na safari hii kikundi cha maafisa kutoka kaskazini walimwua Ironsi na kuchukua serikali mkononi mwao chini ya uongozi wa jenerali [[Yakubu Gowon]]. Mwaka uliofuata [[1967]] serikali mpya ilianza kubadilisha muundo wa utawala; mikoa mitatu ya Nigeria iligawiwa kuwa majimbo 12. Waigbo walisikitika ya kwamba mipaka ilichorwa kwa kusidi la kuacha maeneo ya Delta penye mafuta ya petroli nje ya majimbo penye Waigbo wengi. Ili ilitazamiwa kama jaribio la kuwatenga Waigbo na malighafi hizi.
 
=== Azimio la farakano ===
[[ImagePicha:Ojukwu246.jpg|thumb|Chukwuemeka Odumegwu Ojukwu - Rais wa Biafra]]
Mwaka huohuo wa 1967 mauaji mapya ya Waigbo yalitokea katika kaskazini. Katika hali hii afisa kiongozi wa jeshi katika mkoa wa mashariki [[kanali]] [[Emeka Ojukwu]] tar. [[30 Mei]] 1967 alitangaza uhuru wa mkoa wa mashariki ulioitwa sasa "Jamhuri ya Biafra". Nchi chache tu zilitambua nchi mpya zilikuwa [[Gabon]], [[Haiti]], [[Côte d'Ivoire]], [[Tanzania]] na [[Zambia]].
 
=== Vita ya wenyewe kwa wenyewe ===
Vita ya miaka mitatu ilianza 6 Julai 1967 jeshi ka serikali ya Nigeria iliposhambulia. Serikali ya Lagos ilipata msaada kutoka Urusi na Uingereza. Ufaransa, Ureno na Afrika Kusini zilisaidia upande wa Biafra lakini bila kutambulia nchi rasmi. Usaidizi hasa wa Urusi uliotoa [[ndege za kijeshi]] za aina Ilyushin IL-28 na mabomu ya Napalm uliwapa Wanigeria nguvu zaidi. Jeshi la anga la Biafra ilikuwa na ndege ndogo tu za kiraia zilizobadilishwa kubeba silaha.
 
Vita ilisababisha njaa kali na wakazi milioni 2 - 3 wa Biafra walikufa kutokana na njaa na magonjwa. Tarehe 13 Januari 1970 mabaki ya jeshi la Biafra yalijisalimisha mjini [[Amichi]]. Rais Ojukwu alikimbia kwenda Côte d'Ivoire.
 
=== Upatanisho ===
Baada ya mwisho wa vita hofu ilikuwa kubwa ya kulipizwa kisasi lakini serikali ya Lagos ilijitahidi kujenga upatanisho na amani upya. Ojukwu alirudi Nigeria mwaka [[1980]].
 
Mstari 27:
* [http://es.geocities.com/caueass/caue_projetos/caue_biafra/caue_stpxbiafra.htm STP x Biafra, 40 anos da ponte aérea de ajuda humanitária desde São Tomé]
 
[[Jamii:Historia ya Nigeria]]
 
[[CategoryJamii:HistoriaNchi ya NigeriaKihistoria (Afrika)]]
[[Category:Nchi ya Kihistoria (Afrika)]]
 
[[ar:بيافرا]]
Line 58 ⟶ 57:
[[ku:Serxwebûna Bîafrayê]]
[[lt:Biafra]]
[[lv:Biafra]]
[[nl:Republiek Biafra]]
[[nn:Biafra]]