Wolfgang Pauli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
{{defaultsort}} na mabadilisho ya jamii
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Wolfgang Pauli.jpg|thumb|Wolfgang Pauli]]
{{commons|Wolfgang Pauli}}
 
'''Wolfgang Pauli''' ([[25 Aprili]], [[1900]] – [[15 Desemba]], [[1958]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Austria]]. Hasa alichunguza nadharia ya [[Albert Einstein]] (''Relativity Theory'') na nadharia ya [[kwanta]]. Mwaka wa 1925 alitangaza [[Kanuni ya Pauli]]. Mwaka wa 1945 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
{{DEFAULTSORT:Pauli, Wolfgang}}
[[Category:Waliozaliwa 1900]]
[[Category:Waliofariki 1958]]
[[Category:Wanasayansi wa Austria]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]