Milano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
 
== Umuhimu wa Milano katika Italia ==
Leo hii Milano ni mji wa pili katika Italia. Benki kubwa za nchi zina makao makuu hapa pia [[soko la hisa]] la Italia. Kuna viwanda vingi pamoja na kampuni ya magari ya [[Alfa Romeo]] na kampuni ya matairi [[Pirelli]]. Pia mji huu ni makao makuu ya vyombo vya habari mbalimbali kama [[Mediaset]] na magazeti kama [[Il corriere della sera]]. Mji huu pia ni kitovu cha michezo mbalimbali. Una uwanja wa Giuseppe Meazza ([[San Siro]]) wenye uwezo wa kubebe watazamaji zaidi ya 80,000 ambao ndio mkubwa kuliko vyote nchini Italia. Pia kuna timu mbili za mpira wa miguu, Inter[[Internazionale]] na [[AC Milan]] ambazo ni moja ya vilabu vinavyoheshimika duniani. Milano huitwa mji mkuu wa mitindo ya mavazi ya Italia.
 
Mji unajulikana sana kwa [[opera]] yake inayoitwa "Scala". Jengo mashuhuri ni kanisa kuu au "duomo".