Abia (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: yo:Ìpínlẹ̀ Ábíá |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Badiliko: ig:Nkeji Ochíchííwu Abia; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
'''Abia''' ni jimbo la kujitawala la [[Nigeria]] lenye wakazi milioni 4.2 (2005) na eneo la 5,834 [[km²]]. [[Mji mkuu]] ni [[Umuahia]] na mji mkubwa [[Aba]] mwenye wakazi 900,000.
== Eneo ==
Abia imepakana na majimbo ya Enugu, Ebonyi, Cross River, Akwa Ibom, Rivers, Imo na Anambra. Haina pwani.
Kusini ya jimbo ni tambarare ya chini yenye mvua nyingi. Maeneo ya kaskazini ni juu kidogo.
== Uchumi ==
Uchmi umetegemea hasa kilimo. [[Nafaka]], [[minazi]], [[mahindi]], [[mpunga]], [[muhogo]], matunda na miboga hulimwa.
Kuna pia madini yanayochimbwa ni hasa [[zinki]], mchanga, chokaa pia kiasi cha mafuta ya petroli. Abia hukorogwa bia kuna viwanda vya nguo na kioo.
== Wakazi ==
Watu wa Abia ni hasa wa kabila la [[Igbo]].
{{mbegu-jio-Nigeria}}
[[Category:Majimbo ya Nigeria]]▼
{{Nigeria}}
[[bg:Абия]]
Line 28 ⟶ 29:
[[hu:Abia állam]]
[[id:Abia]]
[[ig:
[[it:Abia (Nigeria)]]
[[ja:アビア州]]
|