Homa ya matumbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+jamii
Mstari 1:
'''Homa ya matumbo''' husababishwa na bakteria anayeitwa '''''Salmonella'' Typhi'''. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mu aliyambukizwa.<ref name="Baron">{{cite book |author=Giannella RA |chapter=Salmonella |title=Baron's Medical Microbiology ''(Baron S ''et al.'', eds.) |edition=4th |publisher=Univ of Texas Medical Branch |year=1996 |url=http://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/bv.fcgi?rid=mmed.section.1221 |isbn=0-9631172-1-1}}</ref> Bakteria hawa hutoboa na kunyonya chakula kwenye matumbo ya binadamu.
[[File:spots.jpg|thumb|right|Mgonjwa wa homa ya matumbo aliye na vitone vyekundu kwa ajili ya bakteria wa ''Salmonella'']]
 
 
== Dalili ==
 
*Homa kali
*Kutoka kwa majasho mengi
Line 34 ⟶ 32:
 
Wiki ya tatu ikimalizika, homa huanza`kutilia. Hii huendelea hadi wiki ya nne.
 
 
 
== Matibabu ==
Mara nyingi, homa ya matumbo haiuwi binadamu. Dawa kama ampicillin, chloramphenicol, trimethoprim-sulfamethoxazole, Amoxicillin and ciprofloxacin hutumika kutibu wagonjwa katika nchi zilizoendelea.
 
 
== Hatua za kuzuia kupata homa hii ==
Line 47 ⟶ 42:
*Homa hii hueza kuenea kwenye mazingara ambayo kinyesi cha binadamu hutangamana na vyakula vyao. Upishi wa makini na uoshaji mikono ni kingo bora zaidi kwa kuzuia maradhi haya kuenea.
*Chanjo ni za aina mbili: moja inayotiwa kwa njia ya mdomo iitwayo ''Ty21a'' (au ''Vivotif Berna'') na nyingine ya sindano kwa majina ''Typhim Vi'' iliyotengenezwa na Sanofi Pasteur au ''Typherix'' iliyotengenezwa na GlaxoSmithKline.
 
 
== Historia ==
Mnamo mwaka 2004-05, janga la homa ya matumbo lilizuka katika nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] iliyoathiri watu 42,000 na kuuwa watu 214 (kulingana na ripoti ya shirika la World Health Organisation).
 
 
== Waathiriwa maarufu ==
Line 60 ⟶ 53:
*William Wallace Lincoln, mtoto wa tatu wa Abraham Lincoln, ambaye ni rais wa 16 wa Marekani, pamoja na Mary Todd Lincoln, walifariki kutokana na maradhi haya mnamo February 20, 1862.
*Wilbur Wright, alikufa mnamo May 30, 1912 baada ya kuugua homa hii.
 
 
== Marejeo ==
{{reflistmarejeo}}
 
 
== Kusoma zaidi ==
Line 71 ⟶ 62:
*{{cite news|url=http://news.bbc.co.uk/2/hi/uk_news/scotland/7471198.stm|title=Typhoid left city (Aberdeen) 'under siege'|first=Stuart|last=Nicolson publisher=BBC News|date=2008-06-26|accessdate=2008-10-05}}
*{{cite news|author=O'Hara C |url=http://www.medicalnewstoday.com/articles/36578.php |title=Typhoid Fever Led To The Fall Of Athens |publisher=Elsevier |date=2006-01-26 |accessdate=2008-10-05}}
 
[[Jamii:Magonjwa]]
 
[[en:Typhoid fever]]