Lugha za Kiberberi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bs, da, fa, fi, hr, id, kab, ku, lad, mk, nds, oc, sq, ur, zh Badiliko: an, ca, eo
d roboti Nyongeza: arz, ms, ro, simple, stq, tr; cosmetic changes
Mstari 1:
{| valign="top" style="float: right;margin-left:1em;margin-bototm:1em;border: 1px solid #AAAAAA; background: #F9F9F9;clear: right"
| colspan=2 style="text-align:center"|[[ImagePicha:berbers.png|250px|Aina za Tamazight au lugha za Kiberber katika Afrika ya Mashariki]]
Aina za Tamazight au lugha za Kiberber katika Afrika ya Mashariki.
|-
Mstari 16:
|-
|}
[[ImagePicha:Bedd.jpg|thumb|left|250px|Alama ya barabarani ya "Stop!" kwa Kiarabu na Tamazight nchini Moroko]]
'''Tamazight''' ni jina la kundi la lugha zinazotajwa pia kama "'''lugha za Kiberber'''" na kuzungumzwa hasa [[Moroko]] na [[Algeria]] lakini pia kati ya wakazi wa [[jangwa]] kubwa la [[Sahara]] hadi eneo la [[Sahel]]. Ni lugha ya [[Waberberi]] wanaoishi kati ya wasemaji wa Kiarabu katika Afrika ya Kaskazini.
 
Tamazight ni kati ya [[lugha za Kiafrika-Kiasia]]. Wasemaji wa Tamazight watazamiwa kuwa wenyeji asilia wa [[Afrika ya Kaskazini]] kabla ya kuja kwa Waroma wa Kale au kwa Waarabu.
Mstari 23:
Tangu uenezaji wa [[Kiarabu]] matumizi ya Tamazight imerudi nyuma polepole. Wakazi wengi wa nchi za Afrika ya Kaskazini ni wa asili ya Kiberber lakini kwa kawaida kupotea kwa lugha humaanisha pia upotevu wa tabia ya kuwa Berber. Leo hii wamebaki wasemaji milioni 10 na wengi wao hutumia lugha yao pamoja na Kiarabu au Kifaransa katika maisha ya kila siku.
 
== Mwandiko ==
Tamazight imeandikwa tangu miaka maelfu. Mifano ya kale kabisa imehifadhiwa tangu 200 KK iliyoandikwa kwa [[mwandiko wa Tifinagh]] inayoendelea kutumiwa na Watuareg.
 
Mstari 34:
Katika nchi nyingi zilikuwa koloni az Ufaransa mwandiko ni Kilatini hadi leo.
 
[[CategoryJamii:Waberberi]]
[[CategoryJamii:Maghreb]]
[[CategoryJamii:Algeria]]
[[CategoryJamii:Moroko]]
[[CategoryJamii:lughaLugha za Kiafrika-Kiasia]]
 
[[an:Luengas berbers]]
[[ar:لغة أمازيغية]]
[[arz:بربرى]]
[[bg:Берберски езици]]
[[br:Yezhoù berberek]]
Line 68 ⟶ 69:
[[lad:Tamazight]]
[[mk:Берберски јазици]]
[[ms:Bahasa Barbar]]
[[nds:Tamazight]]
[[nl:Berbertalen]]
Line 75 ⟶ 77:
[[pl:Języki berberyjskie]]
[[pt:Línguas berberes]]
[[ro:Limbi berbere]]
[[ru:Берберские языки]]
[[simple:Berber languages]]
[[sq:Gjuha berbe]]
[[stq:Berbersproaken]]
[[sv:Berberspråk]]
[[tr:Berber dilleri]]
[[ur:بربر زبانیں]]
[[wa:Amazir]]