Macbeth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Thomas Keene in Macbeth 1884 Wikipedia crop.png|250px|right|thumb|Picha ya tamthilia ya Macbeth.]]
'''''Macbeth'' ''' ni tamthilia ya [[William Shakespeare]] inayohusu mauaji ya mfalme na athari yake. Ni [[tamthiliya fupi kabisa ya]] Shakespeare inayoaminika kuandikwa katika miaka kati ya 1603 na 1607.
 
==Wahusika==
{{col-begin}}
{{col-2}}
 
*'''[[Duncan]]''' - Mfalme wa [[Scotland]]
**'''[[Malcom]]''' - Mwana wa kwanza wa Duncan
Line 16 ⟶ 13:
**'''[[Lady Macduff]]''' - mke wa Macduff
**'''[[Mwana wa Macduff]]'''
{{col-2}}
 
*'''Ross, Lennox, Angus, Menteith, Caithness''' - Viongozi
Line 24 ⟶ 20:
*'''Hecate''' - Mchawi Mkuu
*'''[[Witches]]''' - Wachawi wengine
*''''''
*'''Porter''' - Askari anayechunga nyumba ya Macbeth
*'''Scottish Doctor''' - daktari wa Lady Macbeth
* '''The Gentlewoman''' - mfanyikazi
{{col-end}}
 
==Kuhusu tamthilia hii==
Line 38 ⟶ 32:
Kisha, anamwandikia mkewe barua kumwelezea kuhusu taarifa ya wachawi. Lady Macbeth anatunga njama ya kumuua Mfalme Duncan ili mumewe aupate ufalme. Ingawa Macbeth anaogopa kumuua mfalme, Lady Macbeth anamhimiza kwa kuchokoza ujanadume wake. Macbeth anakubali njama hii.
 
Usiku wa ziara ya mfalme katika nyumba ya Macbeth, Macbeth unamuua Duncan. Kulingana na mpango wake, anawasingizia watumishi wa Duncan waliolala kwa kuwaekea visu vilivyotapakaa damu. Mapema asubuhi iliyofuata, Lennox, ambaye ni diwani, na [[Macduff,]] ambaye ni kiongozi wa [[Fife,]], wanawasili. Askari anawafungulia mlango na kisha Macduff anapatana na maiti ya Duncan huko ndani ya nyumba. Kwa hasira za unafiki, Macbeth anawaua walinzi kabla ya wao kujitetea. Macduff anashuku vitendo vya Macbeth, lakini hasemi kitu. Watoto wa Duncan wanakimbia nje ya nchi kwa hofu ya maisha yao. Macbeth anakuwa Mfalme wa Scotland.
 
Macbeth anawatuma watu wawili kuwaua Banquo na Fleance. Watu hawa wanamuua Banquo, lakini Fleance alitoroka. Baada ya muda, Macbeth hana raha kwa vitendo alivyovifanya. Macbeth anamshuku Macduff, hivyo basi anamuua mkewe Macduff na watoto wake.