Madhehebu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Madhehebu''' ni mafundisho, maadili na matendo ya ibada yaliyo ya msingi katika dini fulani. Kutokana na tofauti zake, mara nyingi dini husika inagawanyika katika makundi y...
 
nyongeza
Mstari 1:
'''Madhehebu''' (kutoka [[Kar.]] مذهب ''madhhab'') ni mafundisho, [[maadili]] na matendo ya [[ibada]] yaliyo ya msingi katika [[dini]] fulani.
 
Kiasili neno la Kiarabu ''madhhab'' limetaja makundi ndani ya mafundisho ya masharti ya Uislamu yaliyotofautiana juu ya vipengele fulani vya [[shari'a]]. Likaendelea kutumiwa kutaja pia makundi makubwa ndani ya Ukristo na baadaye katika dini nyigine.
Kutokana na tofauti zake, mara nyingi dini husika inagawanyika katika makundi yanayoitwa vilevile madhehebu, ambayo kila mojawapo hushirikiana kwa kiasi fulani tu na wafuasi wa madhehebu mengine ya dini hiyo.
 
==Madhehebu ya Uislamu==
[[Uislamu]] hugawiwa kwa mikono miwili mikubwa ambayo ni Wasunni na Washia. Washia ndani yao wamagawanyika katika kundi nyingi zaidi.
Kati ya Wasunni kuna madhhebu au madhhab manne yanayokubaliwa rasmi. Hali halisi makundi mengine ya Kisunni kama [[Wahabiyya]] yanaweza kuitwa dhehebi pia.
 
Madhehebu manne yanayokubaliwa kati ya Wasunni ni Washafii, Wahanbali, Wamaliki na Wahanefi yaliyopokea majina kutokana na walimu wakuu wa kihistoria [[Muhammad ibn ldris ash-Shafi'i]], [[Ahmad ibn Hanbal]], [[Malik ibn Anas]] na [[Abu Hanifa]].
 
==Madhehebu katika Ukristo==